Tupo na Waziri Mkuu toka jana tunashukuru umeme haujasumbua Ruangwa

Phd Hewa

JF-Expert Member
Oct 3, 2016
572
466
Ni miezi zaidi ya 5 wilayani Ruangwa umeme haujawahi kukesha lakini jana kuhamkia leo ni furaha
kwa siku hizi tatu ambazo atakuwa na ziara wilayani hapa nafurahi juice zetu hatuta mwaga kama inavyotutokeaga siku zote
ni fursa mkuu uwe unatutembelea tembelea mana ukija wewe umeme unatulia sana ila ukiondoka tu zima washa zinakua nyingi
na muda mwingine kwa siku unawaka saatano ya usiku alfajiri unazima.
 
Nimepata taarifa hizi Jana kuwa mh.Majaliwa yupo jimboni kwake, na umeme watu wamelala nao. Hii nchi bwanaaa
 
Nashangaaa ukali wote wa jamaa hawa walioshika mpini lkn hakuna anaetumbuliwa katika ubovu huu, biashara haziendi uwekezaji hakuna si Barabara hakuna maji hakuna umeme. Umeme mpka aje kassim majaliwa mweee
 
Back
Top Bottom