Ifahamu dhambi ya mtu mmoja ilivyoiangamiza familia nzima

Online Pastor

Online Pastor

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2017
Messages
1,968
Likes
1,485
Points
280
Online Pastor

Online Pastor

JF-Expert Member
Joined Sep 7, 2017
1,968 1,485 280
Mji wa kwanza kutekwa na Waisraeli baada ya kuuvuka mto Yordani ulikuwa Yeriko.
Na Mungu aliwaagiza kuwa kila watakapouvamia mji wa Kaanani ni sharti waangamize vyote watakavyovikuta kwenye miji isipokuwa vito vya thamani ambavyo sharti ilibidi viwekwe kwenye hema ya kukutania.

Kwa kutii agizo hili mji wa Yeriko ulianguka na Waisraeli kushinda kirahisi.

Mji uliofuata kuvamia ulikuwa ni mji mdogo wa Ai.

Yoshua akiamini kuwa atashinda kirahisi alituma jeshi dogo la Waisraeli 2000 ambao waliishia kutwangwa na kupepetwa na Waisraeli 36 kufariki hapohapo.
Ilipopitishwa sensa ya kubaini chanzo cha kushindwa vita,ikaonekana kuwa kuna mtu aliiba vito mjini Yeriko.Mtu huyo alikuwa Akani,ambaye ilibidi auwawe yeye na familia yake.

TUNAJIFUNZA NINI?
Kuna mikosi,laana,na shida ambavyo vinatukabili leo kutokana na dhambi za ndugu,jamaa na marafiki zetu.Hivyo tujifunze kumuuliza roho mtakatifu kila tunaposhindwa kufanikiwa ili tujue kama chanzo ni siye,Mungu,Shetani au ndugu zetu

REFFERENCES
YOSHUA 7
 
ELI-91

ELI-91

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2014
Messages
1,875
Likes
3,922
Points
280
ELI-91

ELI-91

JF-Expert Member
Joined Aug 24, 2014
1,875 3,922 280
myth
 
Online Pastor

Online Pastor

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2017
Messages
1,968
Likes
1,485
Points
280
Online Pastor

Online Pastor

JF-Expert Member
Joined Sep 7, 2017
1,968 1,485 280
nsereko m karibu sana
 
Online Pastor

Online Pastor

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2017
Messages
1,968
Likes
1,485
Points
280
Online Pastor

Online Pastor

JF-Expert Member
Joined Sep 7, 2017
1,968 1,485 280
wakubomani

Tujiepusha na kutenda dhambi ili watoto wetu wasijekuzirithi.
 
M

Mine eyes

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2016
Messages
2,179
Likes
2,756
Points
280
M

Mine eyes

JF-Expert Member
Joined Apr 11, 2016
2,179 2,756 280
Mji wa kwanza kutekwa na Waisraeli baada ya kuuvuka mto Yordani ulikuwa Yeriko.
Na Mungu aliwaagiza kuwa kila watakapouvamia mji wa Kaanani ni sharti waangamize vyote watakavyovikuta kwenye miji isipokuwa vito vya thamani ambavyo sharti ilibidi viwekwe kwenye hema ya kukutania.

Kwa kutii agizo hili mji wa Yeriko ulianguka na Waisraeli kushinda kirahisi.

Mji uliofuata kuvamia ulikuwa ni mji mdogo wa Ai.

Yoshua akiamini kuwa atashinda kirahisi alituma jeshi dogo la Waisraeli 2000 ambao waliishia kutwangwa na kupepetwa na Waisraeli 36 kufariki hapohapo.
Ilipopitishwa sensa ya kubaini chanzo cha kushindwa vita,ikaonekana kuwa kuna mtu aliiba vito mjini Yeriko.Mtu huyo alikuwa Akani,ambaye ilibidi auwawe yeye na familia yake.

TUNAJIFUNZA NINI?
Kuna mikosi,laana,na shida ambavyo vinatukabili leo kutokana na dhambi za ndugu,jamaa na marafiki zetu.Hivyo tujifunze kumuuliza roho mtakatifu kila tunaposhindwa kufanikiwa ili tujue kama chanzo ni siye,Mungu,Shetani au ndugu zetu

REFFERENCES
YOSHUA 7
Kama ndo kweli basi Kazi IPO,tena kweli kweli...
Maana kama binadamu ujue hakuna msafi sasa kubebeana dhambi au eti ndo matokeo ya dhambi ,tunaadhibiwa kwa makosa ya wengine?!
Ile ya 'kila MTU atauchukua mzigo wake mwenyewe ' imewekwa pending au ?!
Hayo yalikuepo kabla ya yesu ,kwa sasa imebaki historia tu!
Unahukumiwa kwa kosa lako mwenyewe...
Waumini someni wenyewe biblia sio msubiri kutafsiriwa wengine wana tia yao hapo ili muishi kwa hofu sadaka ziongezeke!

Wajinga ndo waliwaooooh
 
Rene Jr.

Rene Jr.

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2014
Messages
3,337
Likes
935
Points
280
Rene Jr.

Rene Jr.

JF-Expert Member
Joined Jan 31, 2014
3,337 935 280
Huyo
Mji wa kwanza kutekwa na Waisraeli baada ya kuuvuka mto Yordani ulikuwa Yeriko.
Na Mungu aliwaagiza kuwa kila watakapouvamia mji wa Kaanani ni sharti waangamize vyote watakavyovikuta kwenye miji isipokuwa vito vya thamani ambavyo sharti ilibidi viwekwe kwenye hema ya kukutania.

Kwa kutii agizo hili mji wa Yeriko ulianguka na Waisraeli kushinda kirahisi.

Mji uliofuata kuvamia ulikuwa ni mji mdogo wa Ai.

Yoshua akiamini kuwa atashinda kirahisi alituma jeshi dogo la Waisraeli 2000 ambao waliishia kutwangwa na kupepetwa na Waisraeli 36 kufariki hapohapo.
Ilipopitishwa sensa ya kubaini chanzo cha kushindwa vita,ikaonekana kuwa kuna mtu aliiba vito mjini Yeriko.Mtu huyo alikuwa Akani,ambaye ilibidi auwawe yeye na familia yake.

TUNAJIFUNZA NINI?
Kuna mikosi,laana,na shida ambavyo vinatukabili leo kutokana na dhambi za ndugu,jamaa na marafiki zetu.Hivyo tujifunze kumuuliza roho mtakatifu kila tunaposhindwa kufanikiwa ili tujue kama chanzo ni siye,Mungu,Shetani au ndugu zetu

REFFERENCES
YOSHUA 7
Huyo Mungu ndiyo alikuwa akiamrisha mauwaji namna hiyo? Haya machafuko yoote ukiangalia kwa undani mara nyingi chanzo ni huyohuyo Mungu, ili kurudisha amani duniani yatupasa tumsambaratishe kwanza huyu Mungu, maana maelekezo yake ni Jinai.
 
Online Pastor

Online Pastor

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2017
Messages
1,968
Likes
1,485
Points
280
Online Pastor

Online Pastor

JF-Expert Member
Joined Sep 7, 2017
1,968 1,485 280
Mine eyes

"...Usiviinamie wala
kufanywa uvitumikie, kwa
sababu mimi Yehova Mungu
wako ni Mungu anayetaka watu
wajitoe kikamili, ninayeleta
adhabu kwa ajili ya kosa la akina
baba juu ya wana na juu ya
kizazi cha tatu na juu ya kizazi
cha nne, kwa wale
wanaonichukia..."

Kumbukumbu la Torati 5:9
 
Online Pastor

Online Pastor

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2017
Messages
1,968
Likes
1,485
Points
280
Online Pastor

Online Pastor

JF-Expert Member
Joined Sep 7, 2017
1,968 1,485 280
Rene Jr.

Utamsambaratishaje,kwa mfano?
 
Online Pastor

Online Pastor

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2017
Messages
1,968
Likes
1,485
Points
280
Online Pastor

Online Pastor

JF-Expert Member
Joined Sep 7, 2017
1,968 1,485 280
M CM

Ebu jaribu kuipenda CHADEMA twone kama itasaidia
 
Copenhagen DN

Copenhagen DN

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2014
Messages
6,079
Likes
8,314
Points
280
Age
29
Copenhagen DN

Copenhagen DN

JF-Expert Member
Joined Oct 5, 2014
6,079 8,314 280
Ancient Jewish bed time stories. Tutafanyaje sasa hamna namna nikukubali kwani walishawahi n wakatubrainwash pamoja Na Yale yanaoishi jangwani
 
Online Pastor

Online Pastor

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2017
Messages
1,968
Likes
1,485
Points
280
Online Pastor

Online Pastor

JF-Expert Member
Joined Sep 7, 2017
1,968 1,485 280
Elli

Kama chama kipi,kwa mfano?

Numbisa amen!
 
F

FUSO

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2010
Messages
13,835
Likes
4,190
Points
280
F

FUSO

JF-Expert Member
Joined Nov 19, 2010
13,835 4,190 280
Mji wa kwanza kutekwa na Waisraeli baada ya kuuvuka mto Yordani ulikuwa Yeriko.
Na Mungu aliwaagiza kuwa kila watakapouvamia mji wa Kaanani ni sharti waangamize vyote watakavyovikuta kwenye miji isipokuwa vito vya thamani ambavyo sharti ilibidi viwekwe kwenye hema ya kukutania.

Kwa kutii agizo hili mji wa Yeriko ulianguka na Waisraeli kushinda kirahisi.

Mji uliofuata kuvamia ulikuwa ni mji mdogo wa Ai.

Yoshua akiamini kuwa atashinda kirahisi alituma jeshi dogo la Waisraeli 2000 ambao waliishia kutwangwa na kupepetwa na Waisraeli 36 kufariki hapohapo.
Ilipopitishwa sensa ya kubaini chanzo cha kushindwa vita,ikaonekana kuwa kuna mtu aliiba vito mjini Yeriko.Mtu huyo alikuwa Akani,ambaye ilibidi auwawe yeye na familia yake.

TUNAJIFUNZA NINI?
Kuna mikosi,laana,na shida ambavyo vinatukabili leo kutokana na dhambi za ndugu,jamaa na marafiki zetu.Hivyo tujifunze kumuuliza roho mtakatifu kila tunaposhindwa kufanikiwa ili tujue kama chanzo ni siye,Mungu,Shetani au ndugu zetu

REFFERENCES
YOSHUA 7
Watu wengi tunatembea na mikosi ama laana za mababu; laana hizi huambukiza kizazi hata cha tatu na nne. Kila siku ni majanga na wewe alaa kumbe babu wa babu yako alikuwa jambazi, mbakaji, muuaji ama mchawi nguli. Kuziondoa hizi huwa ni kazi ngumu saana.
 
Online Pastor

Online Pastor

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2017
Messages
1,968
Likes
1,485
Points
280
Online Pastor

Online Pastor

JF-Expert Member
Joined Sep 7, 2017
1,968 1,485 280
Copenhagen DN

Tunaangalia mafunzo yake,na siyo asili yake
 
Forum statistics

Threads 1,213,101
Members 461,948
Posts 28,466,971