Bodi ya mikopo ya elimu ya juu HESLB imesema hakuna mwanafunzi ambaye atapata mkopo wakati hana vigezo stahiki ambavyo vimeainishwa.
Hayo yamebainishwa leo na Mkurugenzi wa bodi hiyo Abdul Razaq...
Watanzania wanaosafiri kwenda nchini Msumbiji wamelalamikia kunyanyaswa ikiwemo kupigwa na askari wa mpakani wa nchi hiyo huku wanawake wakilalamikia kupekuliwa na askari wa kiume sehemu za siri...
Kwanza napenda niseme kuwa kupenda simu yako kupita kiasi ni ugonjwa kama yalivyo magonjwa mengine ya tabia ya kupenda vitu kupita kiasi yaani (addiction), magonjwa haya hu-tibiwa kwa kupewa...
Nyoka alipenya na kuingia katika karakana ya ufundi seremala.
Wakati nyoka anaingia alipita karibu na msumeno wa kukatia mbao, na kudhurika kwa kuchomwa na meno ya msumeno.
Kwa ujinga wa kutojua...
Arusha.
Vifaranga vya kuku 6,400 vimekamatwa wilayani Longido mkoani Arusha vikiingizwa nchini kutoka Kenya. Vifaranga vilivyokamatwa jana Jumapili Oktoba 29, 2017 vyenye thamani ya Sh12.5...
Hivi inakuaje kwa Mkuu wa wilaya ambaye ni Askari (JWTZ) mwenye cheo cha Kanali, Mfano Mkuu wa wilaya ya Kakonko Kanali Ndagala H.M anapokutana na Askari anayemzidi cheo aidha Kamishna, Brigedia...
Mkuu wa mkoa wa Mtwara Gelasius Byakanwa ametoa kauli hiyo katika mkutano wake na waandishi wa habari ambapo amesema bandari hiyo ilitumika mwaka jana kusafirisha korosho na kufanya vizuri hivyo...
Nimefungua kurasa mmoja wa chombo cha habari fulani, kinaarifu kuwa...'wakazi wa Dar Es Salaam wamepongeza utendaji wa miaka kadhaa ya Mkuu'. Maoni ya wafuatiliaji wengi kwa asilimia kama 70 au...
Mchungaji Panuel Mnguni wa S.Afrika aliyewahi kutikisa kwa kuwalisha waumini Nyoka sasa kaibuka na nyingine ya kuwalisha mende mbichi na maua yenye sumu.
Pia amewahi kudai kumuua shetani...
Benki kuu fanyieni kazi hii changamoto.
Mnawanyima vijana fursa kujipatia kipato.
Kwanini msiondoe hizo sheria zenu wajasiriamali wapokee malipo mtandaoni?
PayPal inawatumiaji wengi sana...
Huyu Rais Mgufuli MCL akisoma hii amini Tutawamis kweli jamani
Haya makosa madogo lakini ya effect yake nikubwa kwa mustakbari wa nchi na Tasnia ya uandishi wa habari
Kumbukeni Rais Mgufuli...
Maendeleo Dunia nzima yalichangiwa na farasi (mnyama) na kabla ya injini ya gari kugunduliwa walikuwa wanatumia Farasi kwa karibia kila kitu na ndo maana hata uwezo wa injini hutumika neno horse...
Hivi kuna watu wanakagua hili daraja au wamekaa ofisini na kwenye vile vibanda kukusanya hela? Wiki mbili zilizopita nilipita hapo darajani nikaona nguzo imegongwa na hii kingo ya flyover. Ile...
Habarini wana mjengo huu wa jamii f.
Wiki iliyopita kuna mzungu wangu kutoka USA aliniambia nimtumie details zangu zote maana kuna vitu anataka anitumie, sasa je hizo details ni zipi jamani? maana...
Habari zilizonifikia hivi sasa ni kwamba huko katika kijiji cha Nsimbo Kaliua majambazi watatu wenye silaha za moto wamevamia nyumba ya kadhaa na kupora mali na fedha
Katika nyumba moja majambazi...
Habari.
Kwa anaejua vitu muhimu vya kwenda navyo unapoenda kufatilia cheti cha kuzaliwa pamoja na gharama zake.
Kabla sijaenda niwe navyo.
Ahsanteni [emoji120]