Msaada wa Ufafanuzi Tafadhali.

top kibobo

JF-Expert Member
Feb 11, 2013
203
107
Hivi inakuaje kwa Mkuu wa wilaya ambaye ni Askari (JWTZ) mwenye cheo cha Kanali, Mfano Mkuu wa wilaya ya Kakonko Kanali Ndagala H.M anapokutana na Askari anayemzidi cheo aidha Kamishna, Brigedia na wengineo., wote wamevaa sare zao za kazi na vyeo vyao mabegani, Je, nani anapashwa kumsalimia/salute mwingine?
 
Awe askari wa cheo chochote atamsalute Mkuu wa mkoa.
Hata kama mkuu wa mkoa alikuwa ni Kanali na aliekutana nae ni Brigedia.
Refer to: Yusuph Makamba alistaafu akiwa ni Luteni wa jeshi lakini maafande na vyeo vyao walikuwa wanamsalute alipokuwa Mkuu wa mkoa.
 
Back
Top Bottom