Habarini
Nchi yetu inaamini kuwa hakna aliye juu ya sheria na je hawa askari wako juu ya sheria au wanaogopwa?
Cheti feki ni feki hadi mbinguni wafukuzwe tu ltakalo tokea basi bwana,double...
Ni dhahiri hakutakuwa na nyongeza ya mshahara mwezi huu wa NOVEMBA/2017,hii ni kulingana na majibu ya Mh. Wazir Mkuu leo bungeni akijibu swali la Mbunge wa Kilindi lililotaka jibu la serikali...
Wakuu.
Kwenye top five investors wa Tanzania wakenya wapo, naomba mahusiano yetu kibiashara yaimarishwe kwani umuhimu wa kenya na tanzania kwenye biashara ni mkubwa sana kuliko nchi yoyote...
Kuna baadhi ya wasafiri ambao nimewahi kujiuliza masuali kadhaa kuhusiana na tabia yao ya kutobeba mizigo mingi pale wanaposafiri kwenda nje ya nchi na kurudi, khasa kwa kutumia zile ndege za...
Kwa wakazi wa Mwananyamala na maeneo mengine ya jiji la Dar es Salaam kuweni na tahadhari na mda na njia mnazopita.
Siku ya jana wamesumbua watu maeneo ya Mwananyamala kwa Kopa kwa kuwapora...
Habari iwe nanyi,
Ndugu zangu hawa watu wa UDART wana madharau makubwa sana kwa wananchi wa nchi hii.
1. Madereva wa mwendokasi wananyanyasa sana abiria, yaani wanaweza kuamua kwa makusudi...
Serikali imesema inaandaa mwongozo wa msamaha wa matibabu kwa watu wenye ulemvu wakiwemo watu wenye Ualbino.
Hayo yamesemwa na Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Sera,Bunge,Vijana ,Ajira na...
Kama mada isomekavyo hapo juu ningependa kujua kwa nini serikali imeamua kuwa miaka 25 kushuka chini ndo wenye nguvu za kufanya kazi?
Tumeshuhudia takukuru wakitoa nafasi za kazi na targeted...
Habari wanajukwaa,
Naomba kwa anaefahamu faida za leseni tajwa kwa mtu mwenye fani ya umeme maana watu wengi wamesoma ila mwamko wa kuchukua leseni sio mkubwa.
Kamanda wa polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam, Lazaro Mambosasa
Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam,limesema kuwa tarehe 6, Novemba mwaka huu maeneo ya Serengeti Kigamboni lilipokea...
Wadau, nimetoka Tegeta saa 6:30 asubuhi hadi muda huu nipo Afrikana na huku nikielekea Kariakoo,sijui nitafika saa ngapi?
Kwa yeyote aliye na ukaribu na askari wa usalama barabani awataarifu...
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana
Kama kichwa cha habar kinavyojieleza hapo juu
Kuna vitu watu huwa hwavijui lakin vina umuhimu mkubwa sana nyuma ya pazia
Fimbo ya kuulia nyoka ni muhimu...
Ndugu wanajamvi,
Mimi ni miongoni mwa watumishi ambao nilistahili kupanda daraja tangu April 2016. Ndugu zangu wakipandishwa madaraja.
Je nitalipwa tokea nilipostahili kupanda daraja au...
Jumla ya kaya 19 zenye wakazi zaidi ya 100 katika kijiji cha Mipeta kata ya Mhukuru wilaya ya Songea mkoani Ruvuma zimekosa makazi ya kuishi kutokana na nyumba zao kuezuliwa na zingine kubomolewa...
Wakati nikijifunza zaidi kuhusu Ndoa Za mitala katika dini na imani mbali mbali kupitia mtandao wa wikipedia, nimegundua kuwa katika Ukristo walutherani wanaruhusiwa kuoa wake wengi.
Luther...
Mfanyabiashara, Ndama Shabani Hussein (Pichani katikati) maarufu kama Ndama mtoto ya Ng'ombe amekiri mahakamani kosa la kutakatisha zaidi ya billioni 1.2.
Ndama anadaiwa kuwa Februari 20, 2014...
Wadau,
Ni kitu ambacho najiuliza siku nyingi ila nakosa jibu. So leo nikaona si mbaya kubadilishana fikra na ndugu zangu.
Kuna hii kampuni ya YONO ambayo kwa sasa ndio imeaminiwa na serikali ya...
Nimekuwa na mashaka makubwa sana juu ya kazi za Mungu wafanyazo manabii wa Kikiristo ndani na nje ya nchi,kama kweli wanafanya kazi ya Mungu ama shetani
Hapa nchini makanisa mengi yamekuwa...
Nashauri tufanye uamuzi kama tuliofanya kwenye huduma za simu, kwamba tuziruke awamu za maendeleo (bypass stages of development) kwa kuruhusu Tanzania iwe sehemu ya majaribio ya teknolojia magari...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.