Tupeane update kuhusu madaraja kwa watumishi


K

kibovu

Senior Member
Joined
Apr 17, 2017
Messages
146
Likes
90
Points
45
K

kibovu

Senior Member
Joined Apr 17, 2017
146 90 45
Ndugu wanajamvi,

Mimi ni miongoni mwa watumishi ambao nilistahili kupanda daraja tangu April 2016. Ndugu zangu wakipandishwa madaraja.

Je nitalipwa tokea nilipostahili kupanda daraja au?

Naombeni msaada wenu wakuu.
 
CHAULA RICH

CHAULA RICH

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2015
Messages
4,798
Likes
1,226
Points
280
CHAULA RICH

CHAULA RICH

JF-Expert Member
Joined Jan 8, 2015
4,798 1,226 280
Ngoja tusubiri wadau, maana hata Mimi ni Mhanga.
 
Ndumbayeye

Ndumbayeye

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2009
Messages
5,878
Likes
1,835
Points
280
Ndumbayeye

Ndumbayeye

JF-Expert Member
Joined Jan 31, 2009
5,878 1,835 280
matumaini yangu yote yameyeyuka baada ya kuwasikia bashe na serukamba jana.
 
MBIIRWA

MBIIRWA

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2013
Messages
2,352
Likes
4,436
Points
280
MBIIRWA

MBIIRWA

JF-Expert Member
Joined May 24, 2013
2,352 4,436 280
mkuu utalipwa wewe andaa matumizi kwa arrears utakazolipwa
 
M

Makuti Malubu

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2017
Messages
351
Likes
179
Points
60
M

Makuti Malubu

JF-Expert Member
Joined Jul 22, 2017
351 179 60
Je matumaini yalishayeyuka ?? Je hali ya uchumi haijaimarika ??
 
M

Makuti Malubu

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2017
Messages
351
Likes
179
Points
60
M

Makuti Malubu

JF-Expert Member
Joined Jul 22, 2017
351 179 60
Pray 4 TL
 
MZEE MSASAMBEGU

MZEE MSASAMBEGU

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2013
Messages
2,743
Likes
2,388
Points
280
MZEE MSASAMBEGU

MZEE MSASAMBEGU

JF-Expert Member
Joined Apr 19, 2013
2,743 2,388 280
Hamlipwi hata shilingi nawaambia
 
majoto

majoto

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2013
Messages
1,686
Likes
1,956
Points
280
majoto

majoto

JF-Expert Member
Joined Jul 19, 2013
1,686 1,956 280
Nafikiri kupandisha watu madaraja haitakuwa rahisi kama wanavyosema maana wataanza kuchokonoa na kutafuta sababu kibao za kukwamisha watu kupanda. Utasikia huna hiki, mara ooo subiri tuhakiki maksi zako, mara umri wako hauendani na cheo unachotaka.... ili mradi itakuwa mbinde. Subirini mtaniambia
 
likandambwasada

likandambwasada

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2015
Messages
5,461
Likes
5,864
Points
280
likandambwasada

likandambwasada

JF-Expert Member
Joined May 27, 2015
5,461 5,864 280
HAKUNA HELA. KAMA KAZ UMEICHOKA ACHA
 
M

moes

JF-Expert Member
Joined
Oct 30, 2012
Messages
2,121
Likes
1,400
Points
280
M

moes

JF-Expert Member
Joined Oct 30, 2012
2,121 1,400 280
Hakuna atakayepandishwa daraja mwezi huu ,endelea kusugua benchi
 
T

TATA MKURIA

Senior Member
Joined
Apr 6, 2015
Messages
132
Likes
48
Points
45
T

TATA MKURIA

Senior Member
Joined Apr 6, 2015
132 48 45
Bado tunataka tuhakiki umri wa watumishi, teh teh teh
 
Mwalimu kp

Mwalimu kp

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2011
Messages
427
Likes
255
Points
80
Mwalimu kp

Mwalimu kp

JF-Expert Member
Joined Nov 14, 2011
427 255 80
Mkuu alisema mwezi huu november,madaraja yaanza kutolewa kwa wanaostahili.Wadau njooni mtoe data.Yaliyomo yamo au?
 
Evelyn Salt

Evelyn Salt

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2012
Messages
48,115
Likes
39,295
Points
280
Evelyn Salt

Evelyn Salt

JF-Expert Member
Joined Jan 5, 2012
48,115 39,295 280
Watumishi mmekua kama mmechanganyikiwa
Kusoma hamjui hata picha?!!!
 
T

Tatama

Member
Joined
May 28, 2017
Messages
92
Likes
37
Points
25
T

Tatama

Member
Joined May 28, 2017
92 37 25
Daima rushwa haitaisha na kupeana huduma kindugu kisa mshahara hautoshi na hiyo kweli kwa mshahara wa mwezi kuinuka kazi labda ukope
 
Ugangaaa

Ugangaaa

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2017
Messages
264
Likes
300
Points
80
Ugangaaa

Ugangaaa

JF-Expert Member
Joined Nov 5, 2017
264 300 80
Tusiseme sn ila kuamin serikali hii sawa na kuamin kupata usafir wa meli ubungo.
 
Gide MK

Gide MK

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2013
Messages
5,975
Likes
5,275
Points
280
Age
40
Gide MK

Gide MK

JF-Expert Member
Joined Oct 21, 2013
5,975 5,275 280
Madaraja yapi mnataka kupanda? ya Ruvu au Mkapa?
 

Forum statistics

Threads 1,237,971
Members 475,809
Posts 29,308,348