Wakuu habari za mchana!
Sijui ni nini kimepelekea leo kuwaza tukio ambalo sitalisahau na liliniumiza sana,imepita miaka 23 sasa,labda ni kwa sababu wiki hii nasherekea my birthday ndio maana...
Wakuu.
Huyu bwana niliandika kule siku za nyuma kua anaua biashara na kweli amefanikiwa, pasipo shaka kafaulu kuharibu mipango mizuri iliyowekwa na kikwete.
Alivoanza na sera za kibabe nilijua...
Nimpongeze Mkuu wa Nchi kwa hatua za mwanzo kabisa juu ya suala la Makenikia.
Kwanza amedhubutu na ameweza imezoeleka Waafrika kuwa wadhaifu pale wanapokuta na Wazungu ila naona awamu hii...
Habari za jpili wandugu
Aiseee binafsi haya mwendo kasi sioni umuhimu wake kiviiiile kutokana na mambo yafuatayo:-
a. Yanaitwa ya mwendo kasi lakini yako slow sana njiani ukilinganisha kwamba...
Kesi 17,959 za makosa ya simu na mitandao ya kijamii zimeripotiwa tangu Januari 2015 hadi Juni 2017.
Aidha, kesi 7, 889 ndizo zilizopelekwa mahakamani mwaka 2016.
Hayo yamebainishwa na Mkuu...
Habari zenu wanajukwaa. Ni tukio la aina yake mkoani Mwanza amabapo mzee moja hupenda kuoa dogodogo. Ana miaka zaidi ya 70 na wake 6 na hakuna mwenye miaka zaidi ya 40. Baada ya kuoa binti wa...
Usafiri wa anga ni mojawapo ya kipimo na kigezo kikubwa cha jiji kuwa la kimataifa. Hata hivyo, siyo majiji yote makubwa duniani (yenye wakazi angalao kuanzia 600,000) yana "viwanja vya ndege vya...
Kuna tetesi nmezipata mahali ingawa sijathibitisha kama ni kweli. Jumomosi nilikuwa nmekaa na mchumi mmoja mahali fulani(jina la sehemu na mhusika nahifadhi).
Inasemekana bwana mkubwa amepanga...
Nimemona kwenye TV Rais akifunga mafunzo ya JKT kwa wabunge ambayo yalichukua wiki tatu tu.
Nilishapitia jeshini na mafunzo yetu yalichukua mwaka mmoja. Kwa muda wa mwaka mmoja tuliweza...
Naomba kusaidiwa Mfuko huo unasaidiaje wazee wenye mazingira magumu? Au anayejua chanzo sahihi cha hizi habari anijulishe, naomba usaidizi wenu wanajamii asanten.
angalia afrika mashariki,umasikini mkubwa sana,ulaya mashariki umasikini mkubwa sana
kusini mwa jangwa la sahara ni umasikini tu,amerika kusini umasikini tupu
angalia ulaya magharibi,nchi zote...
Kampuni ya mabasi ya mwendo kasi UDART itatumia zaidi ya milioni 400 kutengeneza mabasi yaliyoharibiwa na mafuriko kutokana na mvua zilizonyesha jijini Dar es Salaam.
Wabongo tutaendelea kupata...
Shughuli za uzalishaji katika machinjio ya kimataifa ya Kizota Dodoma zimesimama kwa muda kufuatia wafanyabishara wa Nyama kugoma wakiwatuhumu wafanyakazi wa eneo hilo kuiba nyama hali iliyozua...
Habari wandugu!
Nisipoteze muda, naomba niende moja kwa moja kwenye Topic.
Huku mtaani kwenu kuna mbinu mpya ambayo wezi wamegundua ili kutuibia kiurahisi nyakati za Usiku.
1. Wizi wa...
Hii nimeona mara nyingi lakini leo ndio nimeshangaa zaidi pale mshindi wa kamari ya Biko kutoka Bagamoyo ndugu Kahemele alipokabidhiwa zawadi yake ya sh milioni 20 na DAS wa Bagamoyo...
Mwanasissa Mkongwe, Mzee Kingunge Ngombale Mwiru ni mgonjwa na amekuwa akiripoti Kiliniki katika Hospitali ya Taifa Muhimbili kwa matibabu. Haijajulikana mzee Kingunge anasumbuliwa na nini...
MAHAKAMA ya Wilaya ya Mpanda mkoani Katavi, imemhukumu Lazaro Ngomalala (50), mkazi wa Kijiji cha Sibwesa wilaya ya Tanganyika kifungo cha maisha baada ya kumtia hatiani kwa kosa la kumbaka...
Jana kuna ndugu yangu alienda Hospitali ya temeke kutibiwa ., Ila cha kushangaza baada ya kupata matibabu alikabidhiwa kadi ya benki ya CRDB.
Nimemuuliza hiyo kadi ina kazi gani yeye mwenyewe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.