Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii,Kanda ya Kaskazini. MPANDA milima mashuhuri Duniani kwa kutumia Baiskeli ,Juanito Oiarzabal ameweka rekodi ya kuwa Mhispania wa kwanza kupanda Mlima...
2 Reactions
23 Replies
5K Views
Miaka miwili sasa ya Uongozi nafikiri hofu ya kukaa magogoni haiko tena kwa Rais Magufuli, bila shaka keshapazoea pale na mauza uza yake... Na sijamwona kanisani afike kutoa shukrani ya pekee...
0 Reactions
2 Replies
827 Views
Katika kile kinachoonekana kuwa ni kukosa wateja au mdororo wa kiuchumi nchini na mifuko ya watu haina pesa kampuni ya visimbusi ya Tanzania intergrated network group maarufu kama Ting wamelazmika...
4 Reactions
25 Replies
4K Views
Ndugu zangu nipo njia panda.Sielewi nini cha kufanya. Kwanza kabisa mm nimekosa mkopo toka HESLB kwa ajili ya masomo yangu ya elimu ya juu. Jumla ya gharama ntakazotumia kwa miaka yangu 4 ya...
3 Reactions
77 Replies
9K Views
Kuna hizi pikipiki wanasema zimepasuka/wamepasua 'eksozi' zinapiga kelele za kukera sana. Hivi hakuna sheria ya mazingira kuzuia hii kitu?
1 Reactions
1 Replies
1K Views
TANZIA: Mwandishi wa Habari wa Gazeti la Serikali la Daily News, Rose Athuman amefariki Dunia akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar. Mungu ailaze roho yake mahala...
1 Reactions
50 Replies
8K Views
Kuna watu wamekuwa na maswali mengi sana juu ya ukomo Wa madaraka (Masaa ya kazi). Kumekuwepo na sintofahamu juu ya ukomo Wa mamlaka yaan kwamba mamlaka ya mtu huendana na Masaa ya kazi...
0 Reactions
3 Replies
925 Views
1.Je binadamu ana mamlaka ya kumtunuku utakatifu binadamu mwenzake? 2. Vigezo gani huzingatiwa mpaka mtu apewe utakatifu? 3. Utakatifu wa mwanadamu unapimwaje? 4. Endapo mtu anatunukiwa...
3 Reactions
141 Replies
22K Views
Habari wanajukwaa. Katika pitapita yangu huku na kule, mitandaoni na hata katika mazingira halisi nazidi kuona vijana wako katika wimbi la ujinga. Nimeona vijana wakishare pages na picha za watu...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Barabarani kumekuwa na mashimo mengi ambayo yaweza kupelekea kuharibika kwa vyombo vya usafiri na kufanya wamiliki kuingia gharama za matengenezo. Sasa kodi ninalipa, kwenye mafuta kuna tozo ya...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Kwa mara ya kwanza hapa nchini Taasisi ya moyo ya Jakaya Kikwete imefanya upasuaji wa kurekebisha mshipa mkubwa unaotoa damu kwenye moyo kwenda sehemu zingine za mwili katika kambi maalum ya...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Afisa Msaidizi wa Forodha wa TRA Jennifer Mushi kafikishwa Mahakamani, anadaiwa kumiliki mali, kuishi kifahari kinyume na mshahara wake ----- AFISA MSAIDIZI WA FORODHA ALIYEISHI KIFAHARI...
7 Reactions
420 Replies
96K Views
Nimetembea miko mingi ya Tanzania ila Moshi imenishangaza kwa kitu kimoja. Wanawake ndyo wanaonekana wapambanaji kuliko wanaume. Kwa mfano ukitembea mjini. Kati ya machinga kumi, 9 ni wanawake...
2 Reactions
27 Replies
6K Views
Hakika uongozi wa mabasi ya mwendokasi wanatakiwa waangalie utaratibu mzuri wa kipakia abiria hasa wabeba samaki kituo cha Kivukoni.Wabeba samaki wamekuwa chanzo cha foleni ukataji tiketi kwani...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Ngara. Serikali imepeleka madaktari bingwa katika Hospitali ya Misheni ya Rulenge wilayani Ngara watakaoshiriki kuwatibu majeruhi 43 wa mlipuko wa bomu ulitokea katika Shule ya Msingi Kihinga...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
MAMLAKA ya Chakula na Dawa nchini (TFDA) imezifutia usajili dawa kadhaa za kutibu magonjwa ya binadamu na kuziondoa kwenye soko na kusitisha matumizi yake kutokana na kuwa na madhara makubwa kwa...
4 Reactions
22 Replies
8K Views
Leo nimefarijika kufaham kwamba sikukosea kumpeleka mwanangu akasome uchumi MU-Mzumbe university baada ya kumsikia Bashe akimchambua Prof.Mpango wa UDSM. Kumbe haya majina ni mbwembwe tu...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Serikali kuipitia mamlaka yake tanzu ya Rahco inaendelea na bomoa bomoa ili kupisha mradi wa ujenzi wa reli ya kiwango yaani SGR. Bomoa bomoa hiyo inahusiana na majengo yote yaliyopo ndani ya...
0 Reactions
0 Replies
895 Views
Wakuu habari za mchana! Sijui ni nini kimepelekea leo kuwaza tukio ambalo sitalisahau na liliniumiza sana,imepita miaka 23 sasa,labda ni kwa sababu wiki hii nasherekea my birthday ndio maana...
24 Reactions
66 Replies
7K Views
Back
Top Bottom