Fimbo uliyoulia nyoka ni dawa ya umarufu usitupe fimbo hiyo


Beira Boy

Beira Boy

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2016
Messages
14,174
Likes
14,474
Points
280
Age
21
Beira Boy

Beira Boy

JF-Expert Member
Joined Aug 7, 2016
14,174 14,474 280
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana

Kama kichwa cha habar kinavyojieleza hapo juu


Kuna vitu watu huwa hwavijui lakin vina umuhimu mkubwa sana nyuma ya pazia

Fimbo ya kuulia nyoka ni muhimu sana katika maisha yetu sema watu hamjui tu

Siku ukikutana na nyoka chukua fimbo yako mchape had afe, usimpige mawe maana ukimpiga kwa mawe utaharibu dawa

Mpige kwa fimbo had afe hasa maeneo ya kichwa

Fimbo hiyo huwa ni dawa ya kupiga pesa na umarufu

Watu wengi maarufu wanatumia dawa ya fimbo ya kuulia nyoka

Pia ni dawa ya kupata pesa

Pia watu watakuwa wanakuogopa vibaya hata maadui zako wakikuona watakuwa wanatetemeka na kubadilisha njia


Ukikosea masharit utajuta kuzaliwa maana utakuwa adui wa kila mtu kama njisi nyoka alivyo adui wa kila binadamu


LONDON BABY
 
Beira Boy

Beira Boy

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2016
Messages
14,174
Likes
14,474
Points
280
Age
21
Beira Boy

Beira Boy

JF-Expert Member
Joined Aug 7, 2016
14,174 14,474 280
Narudia tena usimpige nyoka kwa mawe maana utahalibu dawa na utakuwa umekosea masharit


Na ukikosea masharit utakuwa adui wa kila mtu
 
Lole Gwakisa

Lole Gwakisa

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2008
Messages
4,078
Likes
518
Points
280
Lole Gwakisa

Lole Gwakisa

JF-Expert Member
Joined Nov 5, 2008
4,078 518 280
Ile aliyotumia Ndugai kumtandika mgombea mpaka akazimia itakua dawa ya umarufu kuzidi ya nyoka maana imempa hadi u-spika.
Ha ha ha ha!
 
Joblee

Joblee

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2015
Messages
1,335
Likes
1,293
Points
280
Joblee

Joblee

JF-Expert Member
Joined Sep 27, 2015
1,335 1,293 280
Mshana Jr, maelezo kidogo katika hili
 
Mshana Jr

Mshana Jr

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Messages
104,481
Likes
124,898
Points
280
Mshana Jr

Mshana Jr

JF-Expert Member
Joined Aug 19, 2012
104,481 124,898 280
strugo

strugo

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2017
Messages
1,779
Likes
1,724
Points
280
strugo

strugo

JF-Expert Member
Joined Apr 22, 2017
1,779 1,724 280
Beira baby boy= na nini hapa ni chaka
 
Viatu vya Samaki

Viatu vya Samaki

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2015
Messages
16,090
Likes
29,382
Points
280
Age
75
Viatu vya Samaki

Viatu vya Samaki

JF-Expert Member
Joined May 11, 2015
16,090 29,382 280
Vipi kuhusu Nguvu za kiume
 
Beira Boy

Beira Boy

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2016
Messages
14,174
Likes
14,474
Points
280
Age
21
Beira Boy

Beira Boy

JF-Expert Member
Joined Aug 7, 2016
14,174 14,474 280
Dadavua kaka maelezo zaidi yanahitajika hapo.Hiyo fimbo unaifanyaje sasa watu tuende Snake park tukawatie bakora nyoka wao.
Siku ukiipata nambie nikupeleke sehemu utakuwa don mda si mref
 

Forum statistics

Threads 1,250,919
Members 481,523
Posts 29,750,780