Mi naomba tu kuuliza kwa anayejua au aliefika huko ulaya, hivi huko nako mapolice /trafik huwa wanasimama kando kando ya barabara na kusimamisha magari, na kama ni hivo je nao wanakuwa na vitabu...
NAFASI YA JESHI LA POLISI LA TANZANIA KATIKA VIWANGO VYA UBORA DUNIANI
Ripoti iliyotolewa na World Internal Security & Police Index (WISPI) imeitaja Tanzania kuwa miongoni mwa nchi zenye Jeshi la...
Salaam sana,
Naamini katika jamii kubwa hivi lazima kuna mchanganyiko mkubwa pia.
Katika hao wamo wacha Mungu wengi.
Niombe pia towekeze nguvu katika kuhimizana kumcha Mungu na kutazama kwa...
Bandugu,
Nina ka-assignment kidogo cha binafsi kuandika, nahitaji sehemu ya kwenda kufanyia hiyo kazi lakini pia iwe ni kama 'vacation' kwangu.
Sifa zake angalau ziwe:
Malazi yasizidi elfu 50 kwa...
MWANAMKE mmoja mkazi wa Kijiji cha Arash Tarafa ya Loliondo, wilayani Ngorongoro, Arusha, Nondomoli Saile, ambaye ameathirika na vitendo vya ubakaji wakati wa operesheni ondoa wafugaji wilayani...
Kikosi cha Usalama Barabarani mkoa wa Ruvuma kimewafungia leseni madereva tisa wa magari ya abiria waliosababisha ajali na kusababisha vifo vya watu na majeruhi ikiwa ni mikakati ya kikosi hicho...
Hudhuria misibani utapata wasaa wa kutafakari uhalisia wa maisha yako km binadamu na utu ulio ndani yako na hatma yake.
Tembelea wagonjwa mahospitalini na majumbani utapata wasaa wa kujishtukia...
Bila ya Shaka Mko vizuri Wakuu na Poleni na Uchovu wa weekend
Kama Mzazi Mlezi ninasikitishwa sana na Vitendo vya Ukahaba Vinavyoendelea ktk Maeneo ya Shule ya Msingi Kitangiri
Shule ya Msingi...
Kikosi cha Usalama Barabarani mkoa wa Ruvuma kimewafungia leseni madereva tisa wa magari ya abiria waliosababisha ajali na kusababisha vifo vya watu na majeruhi ikiwa ni mikakati ya kikosi hicho...
Sijawahi kusikia nchi yoyote Dunia hii ikitaka kuandika Katiba mpya bila ya kuwa na political crisis yoyote ile, lakini nasikia kila siku watu hapa bongo tena wanaojiita wasomi wakidai Katiba...
Mbunge wa Chalinze (CCM) Ridhiwani Kikwete amesema kupitia akaunti ya ya Twitter kuwa watu tusibeze hatua zinazochukuliwa na Mh Waziri, tumpe moyo wa kupambana na matokeo ya matendo yake ndiyo...
Kamati ya ulinzi na usalama wilayani Mkinga imekamata shehena ya mafuta ya Taa kutoka nchi jirani ya Kenya yaliyoingizwa nchini bila kulipiwa ushuru kwa madai kuwa baadhi ya wafanyabiashara...
hizi siku mbili tatu nimekuta threads nyingi sana zikihusiana na mwanamke mmoja anayeitwa lulu.binafsi sikuwa nikimfahama mpaka hizi week mbili tatu nilipoona kila sehemu anazungumziwa na nikataka...
Nipo ORCI. Yaani Ocean Road Cancer Institute
Tokea saa kumi na moja asubuhi. Utaratibu ni mbaya, huna pesa humuoni doctor. Hapa ndipo unatakiwa ujiongeze.
Tusaidieni, huu ugonjwa ni mbaya saaana.
Wakuu heshima zenu,
Nimekaa nikafikiria, kwa dunia ya sasa ilivyo na changamoto, naona watu wema ni vyepesi sana kushikwa na magonjwa ya msongo wa mawazo kama vile presha, vidonda vya moyo, n.k...
Baada ya Mahakama kumkuta Msanii Elizabeth Michael ‘Lulu’ na hatia ya kuua bila kukusudia na kuhukumiwa kifungo cha miaka miwili jela, Wakili wa Msanii huyo, Peter Kibatala amesema wanakusudia...
Nasikitika sana kuwaambia ndugu zangu wote kwamba siku ya Jumanne tarehe 7 mwezi huu mwaka 2017 nilipotelewa na ndugu zangu wanne ambao ni Mke wangu Sayuni Nsoro, mdogo wangu Denis Rulangaranga...
Habari Wana JF
Awali ya yote napenda Kumshukuru Mungu kwa kuendelea kutuweka hai
Niende moja kwa moja kwenye hoja ya msingi kuhusu zao la mahindi kupoteza thamani kutokana na ufungaji wa...