Habari zenu bandugu.,. Naomba kuuliza, kwa mtu anae taka kupata kibali cha kununua bidhaa zitokanazo na maliasili ( WILDLIFE PRODUCTS ) anatakiwa kwenda wapi? Na je ni wildlife...
Kuna jamaa yangu alishilikiwa huko Comoro alikuwa anapeleka ngada, tulikuwa tunachat naye whatsapp na facebook na picha anapiga anatutumia maisha ya huko Jela Anasema wanaruhusiwa Ila sio kila...
Mwanaume mmoja mkazi wa Manzese jijini amefariki dunia wakati akifanya mapenzi maeneo ya Tandale kwa malaya wanapojiuza. Mwanaume huyo ni Dereva wa taxi. Polisi walifika na kufanya upekuzi...
Naangalia hapa channel ten kipindi cha Makwaiya wa Kuhenga Mada: Miaka miwili ya uongozi wa Rais Magufuli. Daaa,, namwona Makwaiya anapata tabu sana wachangiaji mada wanavyotoka kwenye yale...
Ngara. Mwanafunzi wa darasa la kwanza katika Shule ya Msingi Kihinga, wilayani hapa mkoani Kagera, Domina Wabandi (10) amesema wakati wakiingia darasani, mwenzao Juliana Tarasisu (13) aliyefariki...
Katavi . Aliyekuwa akiita Ripota wa STAR TV wa Mkoa wa Katavi na mtoto wa Kamanda Selemani Kova anaejulikana kwa jina la Gerald Kova Mkazi wa Mkoa wa Mwanza amehukumiwa kifungo cha mwaka mmoja...
Kufuatia tukio la msanii Elizabeth Michael,kufungwa jela miaka miwili,kampuni ya Uhai productions inayoratibu mradi wa sinema zetu,inapaswa kuchukua hatua ya kufuta mkataba wa ubalozi na kumkana...
Jambo hili linawwza kuagizwa na hela itatoka wapi na katika bajeti gani wanajua wao.
Dodoma mjiandae kupokea ugeni huu mkubwa na wa ghafa wakati wowote endapo utabiri huu utatima.
Tunatekeleza...
Habari wana JF,
Niende moja kwa moja kwenye mada husika.
Kuna taarifa za ajabu na kusikitisha kuwahusu vijana wetu waliomba na kuchaguliwa kusoma kozi ya CERTIFICATE IN SOCIAL WORK.
Wanafunzi...
Majaji au wanasheria wanatia kinyaa sioni umuhimu wao inakuaje kesi inachukua miaka 6 na ni ya mauaji au hata miaka 10, kuna nini wanafanya kila siku washindwe kupata suluhu au uchunguzi gani...
Ndio ni ushamba na ulimbukeni usio na mfano.
Umeshaona muarabu akiongea na waarabu wenzie halafu akachanganyia maneno ya kingereza? Nenda Ujerumani au Ufaransa uongee kingereza uone...
Mbunge wa zamani wa Bagamoyo, Mzee Adrian Mpande amefariki nchini India akipatiwa matibabu
Chanzo Familia ni yule aliyepigwa Risasi na Mkwewe nje ya kanisa la Ubungo Kibangu.
RIP Mzee Adrian...
Wakuu habari kama kichwa kinavyo jieleza naomba wale wajuzi wa haya mambo na wahenga watusaidie swali liko hivi kwa miaka ya nyuma taifa Tanzania limepitia kipindi cha kuwa na rate kubwa ya watu...
Wange amelipa faini na yuko huru ila kasema hajaridhika na atakata rufaa. Mapema leo Bob Wangwe ambae na mtoto wa marehemu Chacha Wangwe aliyekuwa mbunge wa Tarime alihukumiwa mwaka mmoja na nusu...
Amesema ni marufuku kujadili siasa, kufanya biashara wala kuhubiri injili kwenye dala dala, na hiyo ni kwa mujibu wa sheria na atakayekwenda kinyume atashtakiwa. Amesema hizi ni sheria mpya toleo...
MARA: Miili ya watu watatu wanaodaiwa kuwa ni wafanyabiashara imekutwa imetupwa ndani ya Ziwa Victoria huku miguu na mikono ikiwa imefungwa kwa kamba na kuwekewa mawe
Wananchi wanadai ndani ya...
Jeshi la Polisi linawashikilia viongozi wa Taasisi ya Msaada wa Kijamii Tanzania (TSSF) baada ya kumaliza mahojiano na Wizara ya Elimu.
Awali taasisi hii ilijipambanua kuwa inatoa mikopo kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.