Watanzania tusishangae sana, siasa zetu zinaendeshwa hivi miaka yote

Arabi Nanjewa

JF-Expert Member
Sep 22, 2017
325
410
Nachokiona, mfumo wetu wa siasa mpya hauongezi watu Wapya Kushabikia Siasa...

Bali Ni Watu Wale wale wanazunguka Toka Point A to Point B, then Point C, then wanarudi Point A teena...

Wapenzi na Mashabiki Wa Siasa na watu Maarufu wengi,wanazunguka humo Humo na Kuendelea kuonesha Kwamba, Tz idadi ya Wanaoshabikia Siasa ni Wale wale, Tatizo linakuwa Sehemu ya *Kutafutia Fursa ili Kutimiza MALENGO*

KIBEMBE kimebak kwa Mashabiki Na Washangiliaji...

Wamebaki kila Siku Kubadirishwa Upepo, Huyu leo Akiwa Mwizi, kesho Msafi, kesho akiwa Msafi,keshokutwa anakuwa Mtakatifu, baadae anakuwa Msaliti

Ndio agenda Kubwa viongoz wa Vyama Hutumia Kuwapumbaza Wanachama Wake ili wazidi Kuwaamini kwa Kila Maamuzi wanayoyafanya..!!!!!

Na Wanasiasa maarufu wametambua Huo Ufa, kwamba Popote ukiwa na Jina Unahamia na Kupokelewa kwa Shangwe bila Kujali Jamii ilikusema Vipi...

Siasa za Afrika na Hasa Tz ambazo huongozwa na Kukoswa Misimamo katika Maamuzi na Kusimamia Unachokiami,

Zina Kauli Mbiu ya KUWANYAMANZISHA wnachama Inayosema "Kwenye SIASA, HAKUNA Adui wa Kudumu"
By the way huu ni wakati muafaka kwa wapinzani hasa vijana kujitafakari...
 
Siasa zetu kwa alieanza kuzifuatilia toka 1995akiwa na akili timamu hawezi kustuka kwa yanayoendelea!
 
mfumo wetu huu wa siasa unaendeshwa hovyo.. na hasa wakosefu ni wapinzani.. hupokea kila mtu bila kujitathmini
 
Back
Top Bottom