Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,583
- 27,838
Ukipekuwa kwenye internet utaona kazi za Waziri Phillip Mpango (PhD) lkn nimejaribu kupekuwa Zito Kabwe, Msigwa, Nape, Tundu Lisu, Bashe &Co. zaidi ya mipasho na majungu ya twitter na facebook sijaona hata kazi moja ya Kitaalamu iliyosimama, kama ipo iwekeni hapa, ...