Je, kuna ukweli wowote juu ya hili,,?

Je, kuna ukweli wowote juu ya hili,,?

Trimmer

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2014
Posts
2,800
Reaction score
4,908
View attachment 630957 Ni katika round about ya CCM mkoa, katikati ya jiji la Mwanza, na kwenye huo mnala pichani kuna mlango. Sasa inasemekana kuwa mlango huo ukiingia kuna handaki ambalo linaenda na kutokeza Ikulu ndogo ya jijini Mwanza je, kuna ukweli wowote,,?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom