Safari ndefu namna hii ni mateso, serikali ituletee ndege za bei nafuu

Tallyi

Senior Member
Jun 6, 2017
156
139
Wakuu..
Leo katika safari yangu ya kurudi Dodoma baada ya kumaliza mishe mishe zangu ili kuwahi kufika niendapo imenibidi nipate bas la Sara Dar -Kigoma..

Usafiri wa mbali namna hii kwa basi ni mateso bila chuki. Kiukweli basi ni zuri tu Zongton au sijui ndio mambo ya kukosa usingizi tangu jana ndio nimechoka mgongo namna hii na shoulders..Hivi hapo tu me nashukia Dodoma nawafikiria sana wanaoenda kilomiter 800 kms zaidi ya nishukapo..na nadhani hii hali sio yangu tu. Maana hata wenyeji wa hizi safari naona wengine wamekaa chini ya kwenye seat yamewashinda..

Hivi ni Tanzania ndio tuna vijisafari virefu hivi kwa basi au kuna miji mingine pia ni ivi hivi..abiria wanaumia aisee pamoja na mchina ashukuriwe kutupatia basi nzuri ambazo tunaenjoy na entertainments tofauti na seat adjustable lakini wapi..

Serikali ijipinde itatutaftie hata vijindege vya bei ndogo tusafiri navyo virahisishe mambo au hata washawishi wawekezaji wainvest katika usafiri wa anga kupunguza hizi hadha..kiuno na mgongo havifanyi kazi nilikua na mategemeo ya kunyoosha direct ofisini itabidi nikapumzike tu

Nawasilisha.

20171114_132949_HDR.jpg
 
Hapana mkuu cjalalamika ila imani imeniingia sana kwa wanaoendelea na safari hij adi kigoma..n thou najua naweza nikawa nimechoka sbb ya mishe za cku izi mbili..
Wengine ndio tunapenda safari ndefu ivyo,
 
Kuna namna ya uandishi inaweza ikafanya ukagundua kuwa ni ke au me..hope unaweza ukagundua apo.
Mhhh kwa hiyo ukichaguliwa Jinsi ambayo siyo yako huoni kuwa utakuwa umekashfika? Kwa Mwanaume kupambana ni hali ya kawaida wakati unaiona safari ya kutoa Dar to Kigoma ni ya Mateso lakini kuna wanaochimba migodini mpaka vidole vinawaka moto lakini hawakati tamaa
 
Back
Top Bottom