Wakuu heshima kwenu.
Katika harakati za kimaisha nilipata kaeneo maeneo ya CHANIKA sehemu inaitwa ZINGIZIWA .
Nilipelekwa mara ya kwanza na nikaoneshwa kuwa eeneo liko safi kabisa na ni eneo...
Kudai ng'ombe nyingi kwa ajili ya mwali mweupe kwa wale ndugu zetu wasukuma ni ubaguz wa rangi.
Mwanaume kusema hupendi wadada weusi ni ubaguz wa rangi.
Mdada kuchukia wanaume weusi ni ubaguz wa...
Mzuqa wanajamvi.
Yani hili wazo limenijia faster. Huyu mtu Dokta Shika Ni wakumchangamkia mapema Yani Ni mtaji bonge la asset.
Naandaa script ya movie itakoyoitwa the return of Dr Shika. Yani...
Nilikuwa naangalia clip ya mheshimiwa kwa sana.
Kwenye clip hiyo zilisikika sauti zikishangilia kila alichoongea mheshimiwa, nikawa najiuliza wanashangilia nini? Au sisikii vizuri anachoongea...
Kunenepa ni kitu kizuri, lakini ni vizuri sana kunenepa kwa kufuata njia bora za afya ili uendelee kuufanya mwili kunawiri kuliko kufikia malengo kwa kuharibu mwili moja kwa moja. Unaweza kujaribu...
Kuna dada mmoja alishinda milioni kumi na tano katika droo za tusua mapene;anadai mzigo unasoma kwenye akaunti lakini walimwambia ataweza kuanza kuutumia baada ya siku 60.Hii ni kutokana...
Hakuna kitu kisichofaa kama kuwa "mbogo" pale mwenzio anapokosea ama kukukosea. Tambua binadamu hajakamilika ila muumba pekee, kukosea ni sehemu ya maisha yetu, kuna kukosea kwa bahati mbaya na...
Watoto wawili wa familia moja wamekufa baada ya nyumba yao ya asili kuungua wakiwa wamelala ndani peke yao mchana katika kijiji cha Ruhuru kata ya Muhange wilayani kakonko Mkoani Kigoma. Kutokana...
Meli hiyo inayofanya shughuli zake za usafirishaji kati ya Mwanza na kisiwa cha Gozba Wilayani Muleba Mkoani Kagera, ilizama majira ya saa nne usiku ikiwa na nahodha, wabeba mizigo pamoja na mzigo...
Moshi. Mahakama Kuu imesimama kwa muda kesi ya mauaji ya bilionea Erasto Msuya baada ya shahidi wa 16, PF 1878 Willium Mziu, ambaye ni mkaguzi wa polisi upelelezi makao makuu kuingia na bastola...
Najiuliza tu na hasa nikikumbuka ile kesi ya mauaji ya wafanyabiashara ya madini iliyokuwa inamkabili kamanda Zombe na askari wengine.
Nilimsikia huyu mhasibu wa Takukuru akijieleza jana kupitia...
Ni ushauri tu kwa wale wanaopenda kupita humu na kudokoa makala za watu na kuzitupia kwenye blog zao au kwenye magrupu ya Whattsup.
Baada ya kuona makala zangu ninazoweka humu zinasambaa hovyo na...
Jeshi la Polisi mkoani Shinyanga linamsaka mtu mmoja anayejulikana kwa jina la Nyangalo Mashilimu mkazi wa Msalala kwa tuhuma za kumshambulia kwa kitu chenye ncha kali mgongoni na kichwani mke...
Nafikiri ushindi sahihi wa matokeo ya kidato cha nne na kidato cha sita ingependeza zaidi kama ungetofautishwa kwa kubainisha shule zilizoongoza kwa kufudhu au kufaulu vizuri ktk masomo ya sayansi...
Watumiaji wa UDART wa njia ya Kivukoni -Mbezi wanajua usumbufu wa mabasi ya UDART kuanzia saa 4 asubuhi, kwani UDART hupunguza mabasi yao kwa kiasi kwamba abiria hulazimika kusubiri basi kwa...
Kamanda wa Jeshi la polisi mkoani Arusha Bw Charles Mkumbo amesema kazi ya kuopoa miili ya watu 11 waliokuwa kwenye ajali ya ndege iliyotokea Jana Ngorongoro imekamilika na inatajiwa kusafirishwa...
Maajabu hayo yametokea katika mtaa wa Mbugani baada ya mwanamke huyo kuonekana hapo mtaani na kusababisha taharuki kwa wakazi wa Mwanza baada ya mwanamke huyo kufariki dunia na kuzikwa miezi sita...
Wakuu habari za majukumu!
Jumamosi natarajia kuhamia kwenye nyumba yangu, japo sijamalizia tiles na rangi.
Nitahama hii nyumba ninayoishi sasa ya kupanga kwa zaidi ya miaka 7,saa 4asubuhi.
Nyumba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.