Huu nao ni ubaguzi wa rangi. Tujitafakari

kiwiko

kiwiko

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2014
Messages
918
Likes
1,020
Points
180
kiwiko

kiwiko

JF-Expert Member
Joined Aug 7, 2014
918 1,020 180
Kudai ng'ombe nyingi kwa ajili ya mwali mweupe kwa wale ndugu zetu wasukuma ni ubaguz wa rangi.

Mwanaume kusema hupendi wadada weusi ni ubaguz wa rangi.

Mdada kuchukia wanaume weusi ni ubaguz wa rangi.

Kuchagua miss tanzania mweupe kila siku ni ubaguz wa rangi

Kuajiri wadada weupe tu kwenye biashara ni ubaguz wa rangi.

Kutumia wadada weupe tu kwenye bongo movie ni ubaguz wa rangi

Kutumia wadada weupe pekee kwenye matangazo ya tv ni ubaguz wa rangi

Tujitafakari.

Waafrika kwa muda mrefu tumeteswa na watu wa mataifa mengine kutokana na rangi yetu. Tumenyanyaswa kila kona kuanzia america kaskazini, america kusini, ulaya, asia na kwingineko. Tusifanyie watu wetu ubaguz huo.

Nimeona watu wakimtania Baraka Da prince kwa weusi wake. Hili ni jambo la kulaaniwa kabisa na hatua zichukuliwe kwa wanaoleta dhihaka hizi.
 
Al-Watan

Al-Watan

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2009
Messages
11,993
Likes
14,281
Points
280
Al-Watan

Al-Watan

JF-Expert Member
Joined Apr 16, 2009
11,993 14,281 280

Jana nilikuwa naangaliakipindi cha PBS cha "Finding Your Roots", walikuwa wanawahoji Lupita Nyong'o, Carmelo Anthony na kuna dada mmoja comentator wa siasa anakuwa CNN Anna Navarro.

Basi nilipoona Lupita hapo babaako unfikiri hata kubadili channel naweza tena? Huyo mpaka bi Zuhura mwenyewe anamjua kwamba atanisamehe tu.

Akawa anatoa historia yake, wamepima DNA yake etc.

Akawa anaongelea ubaguzi wa rangi hata Africa upo, kwamba kwao Kenya alivyokuwa anaanza mambo ya sinema aliambiwa yeye mweusi sana hawezi kufaa kwenye sinema. Pia kulikuwa na tangazo la biashara mtu kakosa kazi kwa sababu mweusi sana, akaenda kuoga na sabuni fulani akawa mweupe akapata kazi.

Kwa hiyo haya mambo ya ubaguzi wa rangi kati yetu waafrika wenyewe yapo.

Nishawahi kwenda na mzee mmoja wa Kisukuma kuchumbia, binti mweusi, mzee akachemka akasemakabisa "wewe ungekuwa mweupe ungepata ng'ombe zaidi".

Nikaona really? Is this serious or just a tacky joke?

Lupita Nyong'o Joins Henry Louis Gates on 'Finding Your Roots'

TV Schedule | Watch | Finding Your Roots
 
Kweli kabisa. Ni kitu kibaya sana cha kukemewa. Unakuta mtu wazazi wake weusi tii ila anakwambia hataki mchumba mweusi.
 
Al-Watan

Al-Watan

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2009
Messages
11,993
Likes
14,281
Points
280
Al-Watan

Al-Watan

JF-Expert Member
Joined Apr 16, 2009
11,993 14,281 280
Kweli kabisa. Ni kitu kibaya sana cha kukemewa. Unakuta mtu wazazi wake weusi tii ila anakwambia hataki mchumba mweusi.
Kwenye hicho kipindi cha PBS,huyo Anna Naverra, katika wazazi wake kuna mchanganyiko wa Ki Spanish, wahindi wa America na weusi, sasa kuna babu yake mmoja mweusi, akaja kuzaa na m Spanish akatoa mtoto kazidi weupe ukimuona hujui huyu baba yake mweusi.

Basi yule mtoto eti alikuja kumkataa baba yake kwa sababu baba yake mweusi.

Anna alivyoambiwa habari hizo kwenye TV alishindwa kujizuia akaanza kumtukana pale pale.

Hatari sana.
 
P

peterwapeter

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2013
Messages
533
Likes
255
Points
80
P

peterwapeter

JF-Expert Member
Joined Jun 17, 2013
533 255 80
Ubaguzi ni jambo la asili mpaka Mungu analiwekea makalipio
Soma Biblia au Masaafu utajibiwa
 
Forum statistics

Threads 1,251,171
Members 481,585
Posts 29,760,816