Kamanda Mambosasa amesema ameagiza Dk Shika ajidhamini na awe anaripoti polisi
Dar es Salaam. Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limesema limefikia uamuzi wa kumtaka Dk Louis Shika...
Kuna mtanzania mwenzetu kupitia sanaa alifanya uungwana kwa kutuaga kuwa yeye ameamua kuelekea Zimbabwe miezi kadhaa iliyopita.
Tulijiuliza sana kwa nini ameamua "kutoka" Tanzania, mahali...
wakati ninasoma kuna watu tulikuwa tunawaita wasongolist na wengine tulikuwa tunawaita ma geneous.
hawa watu kwa kifupi ni wale watu ambao darasani walikuwa wanafanya vizuli darasani walikuwa...
SERIKALI imesema ujenzi wa ukuta kuzunguka eneo la mgodi wa tanzanite Mirerani mkoani Manyara ulianza rasmi Jumatatu ya wiki iliyopita na unatarajiwa kukamilika ndani ya miezi sita.
Mkuu wa Mkoa...
Shindano hili limeandaliwa na Nafasi Art Space kwa kushirikiana na Twaweza
Wanatafuta kazi za sanaa zinazojadili hali ya Demokrasia na Uhuru wa Kiraia (aina zote za sanaa)
Andaa kazi yako na...
Kikundi kimoja cha wanajiologia (wana elimu ya miamba) wa Kirusi walikuwa katika mradi wa kutoboa tundu katika eneo la Kola, karibu na Murmansk; maili takriban 150 kaskazini mwa Duara la Aktiki...
Tunakushukuru raisi wetu John.P.Magufuli kwa msamaha wako kwa wafungwa 5,678 kulingana na ilivo zoeleka.
-swali ni je? Wale akina Nguza Vikingi, na Papii kocha wamo katika msamaha wa mwaka huu...
Mwaka 1980, baada ya Zimbabwe kupata uhuru serikali ya nchi hiyo ilituma ujumbe kwenda kuonana na mwanamuziki wa reggae na ambaye ni moja ya wanamuziki maarufu zaidi duniani kuwahi kutokea...
Serengeti. Ndege ya Kampuni ya Coastal Aviation iliyobeba watalii 10 imeanguka na kujeruhi watalii wawili na rubani ilipokuwa ikitua katika uwanja wa Lobo ndani ya Hifadhi ya Taifa ya Serengeti...
Kwa Mara ya kwanza wakulima wa zao la korosho wameshuhudia kupanda kwa bei ya korosho mara dufu zaidi ya ilivotegemewa ambapo bei ya dira kwa msimu wa 2016/2017 ni shilingi 1300 wakati mnada wa...
WAJEMENI, hivi kuvunja lile jengo la Tanesco pale ubungo tukajenga flyovers ya uhakika itakayorahisisha barabara zote nne zinazokutana pale ubungo mataa, na kubaki na jengo lile bila flyovers na...
WANANCHI wa kijiji cha Ivuna Wilayani Momba Mkoani Songwe, wamefufua kiwanda cha uzalishaji wa chumvi katika eneo la Bwawa la Maji chumvi kilichokuwa kimesitisha shughuli zake za uzalishaji...
Poleni na majukumu ya sku kwa ujumla.wanajf mm nilikua naomba msaada kwa mtu mwenye uzoefu kidogo.
Iko hivi mimi nina rafiki yangu yuko US sasa kuna package anataka kuituma Tanzania sasa...
Habari wakuu!
Kwa nini Bara la Afrika ni Masikini? Umasikini wa Afrika unasababu nyingi sana. Zipo sababu zenye mizizi ya Kihistoria hapa ndipo suala la biashara ya utumwa na ukoloni...
Kupitia ukurasa wao wa Instagram, kituo cha radio cha Clouds Fm wamethibitisha kutomleta Msanii kutoka nje na hivyo kutoa fursa kwa Wasanii wa ndani kufanya yao siku hiyo katika viwanja vya...
Habari zenu bandugu.,. Naomba kuuliza, kwa mtu anae taka kupata kibali cha kununua bidhaa zitokanazo na maliasili ( WILDLIFE PRODUCTS ) anatakiwa kwenda wapi? Na je ni wildlife...
Kuna jamaa yangu alishilikiwa huko Comoro alikuwa anapeleka ngada, tulikuwa tunachat naye whatsapp na facebook na picha anapiga anatutumia maisha ya huko Jela Anasema wanaruhusiwa Ila sio kila...
Mwanaume mmoja mkazi wa Manzese jijini amefariki dunia wakati akifanya mapenzi maeneo ya Tandale kwa malaya wanapojiuza. Mwanaume huyo ni Dereva wa taxi. Polisi walifika na kufanya upekuzi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.