Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Watumiaji wa UDART wa njia ya Kivukoni -Mbezi wanajua usumbufu wa mabasi ya UDART kuanzia saa 4 asubuhi, kwani UDART hupunguza mabasi yao kwa kiasi kwamba abiria hulazimika kusubiri basi kwa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kamanda wa Jeshi la polisi mkoani Arusha Bw Charles Mkumbo amesema kazi ya kuopoa miili ya watu 11 waliokuwa kwenye ajali ya ndege iliyotokea Jana Ngorongoro imekamilika na inatajiwa kusafirishwa...
0 Reactions
22 Replies
6K Views
Maajabu hayo yametokea katika mtaa wa Mbugani baada ya mwanamke huyo kuonekana hapo mtaani na kusababisha taharuki kwa wakazi wa Mwanza baada ya mwanamke huyo kufariki dunia na kuzikwa miezi sita...
6 Reactions
61 Replies
16K Views
Wakuu habari za majukumu! Jumamosi natarajia kuhamia kwenye nyumba yangu, japo sijamalizia tiles na rangi. Nitahama hii nyumba ninayoishi sasa ya kupanga kwa zaidi ya miaka 7,saa 4asubuhi. Nyumba...
4 Reactions
112 Replies
19K Views
Hivi umesimamishwa na traffic, akakuomba akukague, ukaridhia bila shida. Akakagua vibali vyote viko sawa,Akakuomba Leseni ya udereva ukampa, akauliza reflect ukampa, fire extinguisher ukampa, ila...
0 Reactions
3 Replies
819 Views
Tukio la kujinyonga kwa mtendaji huyo wa kata, mkazi wa mtaa wa Airtel, Kata ya Uwanja wa Ndege Mpanda, lilitokea juzi majira ya saa 7:30 mchana. Akisimulia tukio hilo, Diwani wa Uwanja wa...
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Zaidi ya vijana 1500 wamejitokeza katika usaili wa kujiunga na mafunzo ya JKT kati ya 65 wanaohitajika wilayani Bagamoyo mkoani Pwani ambapo inajumuisha halmashauli ya Chalinze huku mkuu wa wilaya...
0 Reactions
1 Replies
736 Views
Mvua imeleta tatizo katika mtambo wa Kinyerezi II hivyo kuleta upungufu wa umeme katika Grid ya Taifa. Tujiandae kwa mgao wa umeme kwa muda wakati Tanesco wanafanya matengenezo makubwa katika...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Binafsi nimegundua kuwa watanzania tumekuwa na TITLE za uongo sana kwenye video tunazoweka YOUTUBE kuliko wenzetu wengi, sasa sielewi ni kwa nini hasa!? Hili tatizo linaudhi sana, Itafikia...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Hi great thinkers! Leo nimepata meseji yenye Alama hii ********* nanukuu "Fika kituo chochote kilicho karibu yako unatuhumiwa kumshanbulia ofisa Kwa maneno. Kutofika sheria Kali zitachukuliwa...
0 Reactions
31 Replies
3K Views
MACHACHE KUHUSU KIBOKO: MZAMIAJI ASIYEJUA KUOGELEA KIBOKO ni miongoni mwa mamalia mkubwa wa familia ya Hippopotamidae. Anapatikana zaidi katika bara la Afrika na anasifika kwa kinywa na meno yake...
14 Reactions
34 Replies
22K Views
Salam, naomba mpitie hii standing order ili tujadili kama inawezekana endapo mtumishi wa umma amepandishwa cheo na mda wa probation ambao ni kipindi cha miezi 6 umeisha swali ni kwamba inawezekana...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Fainesy Matiholo, mkazi wa Tabora Mjini ambaye amekuwa akicheza Tatu Mzuka huku akijuwa kuwa itatokea siku aibuke mshindi basi, siku hiyo ikawa ni Jumapili iliyopita ambapo akaibuka kuwa mshindi...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Nina karibu wiki 3 au 4 sijamsikia Kamanda Sirro, hamu ya kazi imemwishia au? Au anasubiri Tundu Lissu arudi ndo aanze kazi upya:p Nimemmisi tu kamanda wangu jamani, where is he?
12 Reactions
44 Replies
5K Views
Kila mmoja wetu ni shuhuda juu ya wimbi la kuingia wahamiaji haramu ktk nchi yetu, kila kukicha makumi kwa mamia wanapenya kila kona ya nchi yetu. Hao ni wale tu tunao bahatika kuwakamata huenda...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Sina kipaji cha kuandika sana ila nitaeleza kwa ufupi. Ni ukweli usiopingika kwamba kila mtu ana ndoto za kuwa tajiri. Pia nimejifunza kuwa utajiri sio bahati nasibu. Ili kuufikia utajiri...
7 Reactions
23 Replies
4K Views
Ilitakiwa ifanyike kwanza tathmini juu ya hali ya chakula nchini kabla ya mh.waziri mwenye dhamana kutoa tamko ndani ya ukumbi wa bunge. Kauli ya waziri imetolewa kwa muhemko wa kisiasa na...
1 Reactions
41 Replies
6K Views
Jana 15/11/2017 niliibua madudu ya Kamati ya Utendaji ya TFF (EXCOM) kupitisha maazimio ya kulipana posho ya mwezi na vikao tsh. Mil. 438 kwa mwaka. Baada ya taarifa hiyo kusambaa kwenye...
2 Reactions
14 Replies
1K Views
TRA kupitia kwa kamshna wake mkuu Charles Kichere imesema nyumba za mfanyabiashara Said Lugumi zinazopigwa mnada, hazitoshelezi kulipa deni analodaiwa na mamlaka hiyo. Ametoa kauli hiyo akiwa...
2 Reactions
74 Replies
8K Views
Kumezuka Tabia ya baadhi ya watu kuanza kutoa mahubiri ya dini katika mabasi ya mwendokasi. Ukweli sio sahihi kufanya hivyo kwani kuna watu ambao hawako tayari kuyasikiliza Kwa hiyo...
6 Reactions
128 Replies
14K Views
Back
Top Bottom