Hizi shangilia shangilia za watu kwa Rais nimezishtukia!

CHA The GREAT

JF-Expert Member
Nov 11, 2010
651
853
Nilikuwa naangalia clip ya mheshimiwa kwa sana.
Kwenye clip hiyo zilisikika sauti zikishangilia kila alichoongea mheshimiwa, nikawa najiuliza wanashangilia nini? Au sisikii vizuri anachoongea mheshimiwa? Nika-replay ile clip, kwa kweli maneno yaliyozungumzwa na mheshimiwa na kupelekea wale watu washangilie ni ya kawaida sana!! Na mengine kwa akili tu ya kawaida, si ya kushangilia. Mfano, naagiza jengo hili na hili liangushwe....eti watu wanashangilia!! Sasa jengo kuangushwa ni jambo la kushangilia kweli? Wanashangilia ili iwe nini?

KOSA LA KIUFUNDI:
Ukiangalia kwa umakini ile clip, utagundua watu wanaopiga kelele kwa maana ya kushangilia wanapatikana sehemu moja au ni kusanyiko la watu wanaopatikana sehemu fulani aidha kusini, mashariki, magharibi au kaskazini. Yaani ni kusanyiko la watu limemzunguka mheshimiwa, lakini wanaoshangilia wanakuwa sehemu moja tu.

Yaani hawa jamaa kila kitu wao ni kuchemsha tu, sijui huwa hawapati muda wa kufanya mpango wa muda mrefu.
 
Hivi unapata wapi muda wa kukaa kumchunguza mpaka wanaoshangilia

Kuna baadhi ya watu mna vibarua visivyo na malipo
 
Watu mnajua kuchunguza! Lakini usisahau kuzisoma body language zao utagundua hawana furaha hata kidogo. Wapo very anxious badala ya kusikiliza kwa makini na hili litakupeleka kwenye conclusion kuwa sio wenyeji wa eneo lile ulipokuwa mkutano bali wameletwa kwa kuokotezwa mtaani!
 
Siasa ni kama mieleka! Adui anapoangushwa, usually watu wa upande mmoja watashangilia kwa sababu sitting arrangement huwa zinataka mashabiki wa timu hii wakae upande mmoja na mashabiki wa timu pinzani wakae upande mwingine.
Kwa hiyo ile ilikuwa kama mieleka. JPM kamdondosha hasimu wake (jengo la TANESCO) So mafans wake lazima washangilie shujaa wao katwanga ngumi mpinzani!
Au we huangaliagi michezo?

Professional-Wrestling-1.jpg

Pichani! JPM akilitwanga jengo la TANESCO kwa pigo moja takatifu! Mashabiki washangiliaji (wanaonekana kwa mbali) wakimwangalia kwa umakini JPM akifanya vitu vyake!
 
Nilikuwa naangalia clip ya mheshimiwa kwa sana.
Kwenye clip hiyo zilisikika sauti zikishangilia kila alichoongea mheshimiwa, nikawa najiuliza wanashangilia nini? Au sisikii vizuri anachoongea mheshimiwa? Nika-replay ile clip, kwa kweli maneno yaliyozungumzwa na mheshimiwa na kupelekea wale watu washangilie ni ya kawaida sana!! Na mengine kwa akili tu ya kawaida, si ya kushangilia. Mfano, naagiza jengo hili na hili liangushwe....eti watu wanashangilia!! Sasa jengo kuangushwa ni jambo la kushangilia kweli? Wanashangilia ili iwe nini?

KOSA LA KIUFUNDI:
Ukiangalia kwa umakini ile clip, utagundua watu wanaopiga kelele kwa maana ya kushangilia wanapatikana sehemu moja au ni kusanyiko la watu wanaopatikana sehemu fulani aidha kusini, mashariki, magharibi au kaskazini. Yaani ni kusanyiko la watu limemzunguka mheshimiwa, lakini wanaoshangilia wanakuwa sehemu moja tu.

Yaani hawa jamaa kila kitu wao ni kuchemsha tu, sijui huwa hawapati muda wa kufanya mpango wa muda mrefu.
Ni utamaduni wa watu wa chama hiki, maana hata wabunge wao wanashangilia kila kitu. Mfano siku waziri mkuu akisema bungeni kuwa si Lisu tu aliyeshambuliwa bali hata Kibiti na Mkuranga watu wengi wameuawa wabunge wao wakashangilia kwa akugonga meza kwa nguvu. Aliposema hata meja wa jeshi alipigwa risasi wakashangilia
 
Nilikuwa naangalia clip ya mheshimiwa kwa sana.
Kwenye clip hiyo zilisikika sauti zikishangilia kila alichoongea mheshimiwa, nikawa najiuliza wanashangilia nini? Au sisikii vizuri anachoongea mheshimiwa? Nika-replay ile clip, kwa kweli maneno yaliyozungumzwa na mheshimiwa na kupelekea wale watu washangilie ni ya kawaida sana!! Na mengine kwa akili tu ya kawaida, si ya kushangilia. Mfano, naagiza jengo hili na hili liangushwe....eti watu wanashangilia!! Sasa jengo kuangushwa ni jambo la kushangilia kweli? Wanashangilia ili iwe nini?

KOSA LA KIUFUNDI:
Ukiangalia kwa umakini ile clip, utagundua watu wanaopiga kelele kwa maana ya kushangilia wanapatikana sehemu moja au ni kusanyiko la watu wanaopatikana sehemu fulani aidha kusini, mashariki, magharibi au kaskazini. Yaani ni kusanyiko la watu limemzunguka mheshimiwa, lakini wanaoshangilia wanakuwa sehemu moja tu.

Yaani hawa jamaa kila kitu wao ni kuchemsha tu, sijui huwa hawapati muda wa kufanya mpango wa muda mrefu.
Unatumia nguvu nyingi zisizo na umuhimu kufikiri vitu vidogo sana. Watu wanapenda JPM, usidhani vichuki vyetu vya mitandaoni ndivyo hivyo mitaani. Walalahoi wanamfurahia, achana na wewe mwenye cheti feki. After all Rais Magufuli si type ya watu wanaofanya maamuzi kufurahisha watu, wao wanakubali tu swagger zake.
Kuna mambo ya muhimu yanakushinda kujadili unakalia kujadili mipasho, assume kama watu wasingeshangilia, ingeleta tofauti ipi?
 
Ufipa ni nyumba ya maajabu kuliko kikombe cha babu ukiingia mwenye dhambi next day makamanda wanakuita mtakatifu
 
Back
Top Bottom