Habarini wanabodi!.
Poleni na majuku ya hapa na pale, swali hapo juu lajieleza vyakutosha. Ni kawaida mtu kupewa cheti baada ya kuhitimu course(fani) flani, kwa upande wa cheti cha ndoa mbona ni...
SHIRIKA LA UMEME TANZANIA TAARIFA YA KUSAFISHA NA KUUNGA BOMBA LA GESI - KINYEREZI I, MAANDALIZI YA KUUNGA KITUO CHA KINYEREZI II
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), linawataarifu Wateja wake...
Wakuu habari
Ikiwa imepita miezi miwili tangu Halmashauri zipewe kibali cha kuajiri WAHASIBU WASAIDIZI IDARA YA AFYA NA Halmashauri zikafanya Ivyo.
Mpaka sasa HALMASHAURI AZIJAJUA AWA WAHUSIKA...
Habari ya wakati huu wakuu.
Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam mheshimiwa Makonda amewatangazia kiama wanaume wote wanaowamimba wanawake kisha kukataa mimba au kukimbia mimba.
Amedai atashughulika...
Mawaziri wakuu wastaafu, Sumaye, Msuya na Lowassa
Aliyekuwa waziri wa Ulinzi Prof Sarungi na Balozi Job Lusinde aliyekuwa waziri Baraza la Mawaziri la kwanza la Tanganyika
Historia ya...
Habari Wakuu,
Kutokana na maisha kuwa na mambo mengi imefikia hatua nahisi haya masaa 24 tuliyopewa na Mungu ni kama hayatoshi.
Nikijaribu kuyagawa kwenye ratiba yangu ya siku nahisi kuna vitu...
Nimefanya utafiti wangu mdogo,Watanzania wengi wamejisahau sana kuhusu ukimwi.Kampeni na elimu juu ya maambukizi zimekufa kuanzia redioni kwenye Tv na hata watu wengi vijueni hawaupi huu ugojwa...
Hivi TANESCO mna matatzo gani? muwe mnatoa taarifa ni huduma gan hii ya ajabu!
Yaani ni sawa niende dukani kununua sukari halafu mangi anipangie kilo za kuchkua au ninunue halafu aninyang'anye...
Siku mbili zikiwa zimepita tangu Dk Louis Shika kuelezea siku 28 za mateso aliyoyapata nchini Urusi, aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini humo wakati huo, Patrick Chokala amefichua siri jinsi...
Maalum kwa waislam tu,
Assalam aleikum, kwa mujibu wa dini yangu Riba ni kharam, na mwenye kula riba anakua ametangaza vita na Allah ( SW) nimesha iambia Benki yangu wasiniwekee Riba kabisa na...
Wa jamvini habarini jaman naomba kuuliza hivi taratibu za mama mjamzito zimebadilika nasikia siku hizi wanatakiwa kwenda na khanga mpya kwa ajili ya mtoto pekee zisipungue pair 5 pempams...
Narudia tena kwa msisitizo kwa kusema kwamba Njia Panda ya Coca Cola Media mwambieni Mrembo mwanya ' aachie ' tu yote haya yataisha kwani hizi hasira anazisababisha Yeye kwa kula Pesa za Watu huku...
Kwa miaka zaidi ya mitatu nimekuwa nikikutana na kakikundi ka watoto wadogo kwenye maharusi na kumbi mbali mbali hapa Dar wakijitambulisha kama yatima na uanza kutumbuiza na kutuzwa.
Tatizo liko...
Kwa meneja wa TANROAD DSM, sisi wakazi wa kuanzia mbezi mwisho kwa Yusufu mpaka mpigi magoe tunapata shida sana kwenye hii barabara. Barabara ni mbovu kiasi kwamba tunahangaika sana kupata...
Wengi hawakifahamu chama hiki cha wafanyakazi kinacho deal na maslahi ya wafanyakazi nishati na madini, hakika kimefanya mengi, stay tune I'll let u know what is going to happen!
Ndg mwalimu, pamoja na utendaji kazi wako mzuri uliotukuka, hakikisha unapokuwa kazini na nje ya kazini hakikisha unajua mambo yafuatayo muhimu, maana ipo siku utaulizwa utabaki unavunja vidole...
Habari wanajamvi...
Naona ndugu Elizabeth Michael maharufu kama Lulu katika video za Youtube akipelekwa gerezani baada ya hukumu akiwa hajafungwa hata kamba mikononi...
Je hii ni sawa au...