Balozi Chokala aeleza walivyomsafirisha Dk. Shika kijajusi

Hivi punde

Hivi punde

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2017
Messages
1,841
Likes
4,429
Points
280
Hivi punde

Hivi punde

JF-Expert Member
Joined Apr 1, 2017
1,841 4,429 280
Siku mbili zikiwa zimepita tangu Dk Louis Shika kuelezea siku 28 za mateso aliyoyapata nchini Urusi, aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini humo wakati huo, Patrick Chokala amefichua siri jinsi walivyomsafirisha kijasusi ‘bilionea huyo wa nyumba za Lugumi’ kurudi Tanzania.

Balozi Chokala aliyekuwa Urusi kati ya mwaka 2002 na 2008 katika kipindi ambacho sakata la utekwaji wa Dk Shika lilijitokeza, amethibitisha kuwa ni kweli Mtanzania huyo ni daktari na kwamba ni kweli amewahi kutekwa.

Dk Shika anatuhumiwa kuvuruga mnada wa majumba ya mfanyabiashara maarufu, Said Lugumi uliofanywa na kampuni ya Yono baada ya kufika bei ya kuzinunua nyumba hizo tatu kwa Sh3.2 bilioni, lakini akashindwa kutimiza sharti la kulipa asilimia 25 ya fedha hizo.

Kushindwa huko kulipa kulisababisha awekwe rumande katika Kituo Kikuu cha Polisi Dar es Salaam kwa siku sita hadi alipoachiwa kwa kujidhamini mwenywe Novemba 14 na kutakiwa kuripoti kila siku.

Mara baada ya kutoka polisi kwa dhamana, Mwananchi lilifanya mahojiano maalumu na Dk Shika nyumbani kwake Tabata Mawenzi na alieleza mambo mbalimbali ikiwamo kutekwa na kuteswa akiwa Urusi Juni 2004, ikiwa ni pamoja na kukatwa vidole viwili mkono wa kushoto na kimoja mkono wa kulia.

Pia alieleza jinsi alivyofanikiwa kuwatoroka watekaji hao.
Jana, Mwananchi lilizungumza na Balozi Chokala ambaye alisema analikumbuka vizuri tukio la kutekwa kwa Dk Shika na jinsi ubalozi ulivyomsaidia asipatwe na kadhia kubwa zaidi. “Ni kweli huyo jamaa ni daktari wa binadamu. Alisoma Chuo Kikuu cha Lumumba kilichopo Moscow, Urusi,” alisema Balozi Chokala.

Alisema kutokana na upekee wa yaliyomsibu Dk Shika, ubalozi ulilazimika kuingilia kati ili kunusuru maisha yake.
Kwa kumbukumbu zake, balozi huyo alisema Dk Shika alitekwa na majambazi waliokuwa wanataka fedha ambazo yeye mwenyewe (Dk Shika) alikuwa anajigamba kuwa nazo na kuwashawishi watekaji hao kumfuatilia.

“Majigambo ya kumiliki fedha nyingi hajayaanza leo. Tangu akiwa Urusi alikuwa anasema anamiliki fedha nyingi. Watu walimuamini kwa sababu alikuwa daktari anayetambulika, matokeo yake alitekwa,” alisema Chokala, ambaye amewahi kuwa mwandishi wa Rais wa awamu ya pili, Ali Hassan Mwinyi.

Balozi huyo alisema baada ya kufanikiwa kuwatoroka majambazi hao ambao baadaye walikamatwa na polisi nchini humo kisha kufunguliwa mashtaka, Dk Shika alipelekwa hospitali kwa matibabu akiwa amepoteza vidole kadhaa vya mikono yote miwili.

Alisema majambazi hao walimtesa kwa muda mrefu kwa kuwa mpaka anapatikana vidole hivyo vilikuwa vimeanza kuoza.
“Walimshikilia kwa muda mrefu kwa kuwa walihitaji fedha ambazo Dk Shika hakuwa nazo,” anakumbuka balozi huyo aliyestaafu mara baada ya kurudi nchini.

Alisema baada ya ubalozi kupewa taarifa zake, ulifuatilia na kugundua kwamba alipelekwa nchini humo na Wizara ya Afya, na alikuwa amelipiwa kila kitu ikiwa ni pamoja na tiketi ya ndege.

Wakati anatekwa, alisema Dk Shika alikuwa ameshahitimu lakini hakuwa na nauli ya kurudi nyumbani, hivyo akawa anahangaika kupata nafasi ya kuendelea na shahada ya uzamili.

“Tulipowasiliana na wizara walithibitisha kuwa ni mtu wao. Tuliandaa utaratibu wa kumrudisha bila yeye kujua kwa sababu hakuwa anataka kufanya hivyo,” alisema.
Akiwa anaendelea kuhudumiwa, ubalozi ulimuandalia safari ya kurudi bila yeye kufahamu kuepuka asitoroke.

Balozi Chokala alisema ilikuwa ni lazima Dk Shika arudishwe kuepusha janga jingine linaloweza kumkuta endapo angeendelea kuishi nchini humo. “Kujirudia kwa tatizo kama hilo kungeupa ubalozi lawama. Hatukutaka kujiweka kwenye nafasi hiyo,” alisema

Baada ya mipango yote kukamilika, askari wa ubalozini walimpeleka uwanja wa ndege na kumkabidhi kwa wahudumu wa ndege iliyokuwa inakuja Tanzania wakiwaelekeza wasimshushe popote isipokuwa Dar es Salaam ambako Wizara ya Afya ilikuwa inamsubiri.

Mpango huo ulitekelezwa kama ulivyopangwa na wizara ikathibitisha kumpokea mtumishi wake huyo ambaye balozi Chokala anasema alipewa nyumba na akawa anaendelea na majukumu yake.

“Akiwa Urusi, nilielezwa kuwa alikuwa ana matatizo ya kijamii ambayo yaliendelea kumuandama hata aliporudi. Nasikia kuna wakati alienda kwao na hakurudi tena kazini,” alisema.

Kwa muda wote wa kushughulikia sakata la ‘bilionea’ huyo, balozi alisema hakuonana naye na alipomsikia kwenye vyombo vya habari akawa hana uhakika ingawa jina lilikuwa lenyewe. “Siwezi kumsahau.

Tukio lake lilikuwa la kipekee,” alisema na kufafanua kuwa ubalozi haukuendelea kufuatilia kesi yake kwa kuwa walichokipa kipaumbele ni usalama wa Mtanzania huyo.

Kuhusu Dk Shika kuwa ni Rais wa kampuni ya Lancefort aliyoianzisha akiwa Urusi ambayo Serikali ya nchi hiyo ilitilia shaka mwenendo wake, hivyo kuifuatilia, Balozi Chokala alisema hafahamu chochote.

“Siwezi kulizungumzia hili. Kwa wakati huo, usalama wake ulikuwa muhimu zaidi na ndio tulioupa kipaumbele,” alisema.

Chanzo: Mwananchi
 
shushushu VIP

shushushu VIP

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2016
Messages
4,754
Likes
4,029
Points
280
shushushu VIP

shushushu VIP

JF-Expert Member
Joined Jul 24, 2016
4,754 4,029 280
dr shika
 
The Valiant

The Valiant

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2017
Messages
2,796
Likes
3,864
Points
280
The Valiant

The Valiant

JF-Expert Member
Joined Aug 16, 2017
2,796 3,864 280

elmagnifico msome balozi hapa
 
The Valiant

The Valiant

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2017
Messages
2,796
Likes
3,864
Points
280
The Valiant

The Valiant

JF-Expert Member
Joined Aug 16, 2017
2,796 3,864 280
Mkuu huu ndiyo ukweli sema wabongo hawataki kuamini
jamaa anaumwa.anahitaji msaada.mbaya zaidi wabongo wanamtumia vibaya
media houses zinatengeneza fedha
Airtel nasikia wameshamtumia kupata hela
The guy is sick
 
elmagnifico

elmagnifico

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2011
Messages
7,894
Likes
7,577
Points
280
Age
30
elmagnifico

elmagnifico

JF-Expert Member
Joined Jul 7, 2011
7,894 7,577 280
jamaa anaumwa.anahitaji msaada.mbaya zaidi wabongo wanamtumia vibaya
media houses zinatengeneza fedha
Airtel nasikia wameshamtumia kupata hela
The guy is sick
Yah wana tangazo lina maneno ya itapendeza daah.
Sema wabongo tunaopenda sana conspiracy theories na kila mtu anaunga unga dots then anjiita mtaalamu
 
MTAZAMO

MTAZAMO

JF-Expert Member
Joined
Feb 8, 2011
Messages
13,784
Likes
8,524
Points
280
MTAZAMO

MTAZAMO

JF-Expert Member
Joined Feb 8, 2011
13,784 8,524 280
Kwahiyo ni kweli alisomeshwa na serikali .....ni kweli ni daktari wa binadamu .....ni kweli alitekwa .....maelezo mengi ya Dr Shika ni kweli tupu ....tatizo tunamchukulia poa kama tulivyochukulia poa madini yetu miaka kibao ....ndivyo tulivyo ...
 
naumbu

naumbu

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2010
Messages
4,021
Likes
5,287
Points
280
naumbu

naumbu

JF-Expert Member
Joined Oct 28, 2010
4,021 5,287 280
Ni watanzania wangapi ughaibuni wamepewa umuhimu kama huu wa Dr?
Mtanzania aliyegharamiwa na Serikali tena MD mwajiriwa wa Wizara amekatwa vidole sio kitu cha ajabu;Serikali zetu maskini hiz zinasitasita kwa hawa walioenda wenyewe kubeba box! Ukimsoma vizuri Balozi huyo jamaa uchizi wa kuhisi ni tajiri ndio umemponza na amesema alibebwa na Ndege ya kawaida hadi Dar hamna cha kutoroshwa na ndege ya malkia wala nini!Hizi mental case za hallucinations zipo kibao tu sijui kwa nini huyu jamaa amewapumbaza hadi watu nilikua nawaona wajanja wa akili
 
boyfriendy

boyfriendy

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2012
Messages
1,954
Likes
660
Points
280
boyfriendy

boyfriendy

JF-Expert Member
Joined Sep 9, 2012
1,954 660 280
Siku mbili zikiwa zimepita tangu Dk Louis Shika kuelezea siku 28 za mateso aliyoyapata nchini Urusi, aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini humo wakati huo, Patrick Chokala amefichua siri jinsi walivyomsafirisha kijasusi ‘bilionea huyo wa nyumba za Lugumi’ kurudi Tanzania.

Balozi Chokala aliyekuwa Urusi kati ya mwaka 2002 na 2008 katika kipindi ambacho sakata la utekwaji wa Dk Shika lilijitokeza, amethibitisha kuwa ni kweli Mtanzania huyo ni daktari na kwamba ni kweli amewahi kutekwa.

Dk Shika anatuhumiwa kuvuruga mnada wa majumba ya mfanyabiashara maarufu, Said Lugumi uliofanywa na kampuni ya Yono baada ya kufika bei ya kuzinunua nyumba hizo tatu kwa Sh3.2 bilioni, lakini akashindwa kutimiza sharti la kulipa asilimia 25 ya fedha hizo.

Kushindwa huko kulipa kulisababisha awekwe rumande katika Kituo Kikuu cha Polisi Dar es Salaam kwa siku sita hadi alipoachiwa kwa kujidhamini mwenywe Novemba 14 na kutakiwa kuripoti kila siku.

Mara baada ya kutoka polisi kwa dhamana, Mwananchi lilifanya mahojiano maalumu na Dk Shika nyumbani kwake Tabata Mawenzi na alieleza mambo mbalimbali ikiwamo kutekwa na kuteswa akiwa Urusi Juni 2004, ikiwa ni pamoja na kukatwa vidole viwili mkono wa kushoto na kimoja mkono wa kulia.

Pia alieleza jinsi alivyofanikiwa kuwatoroka watekaji hao.
Jana, Mwananchi lilizungumza na Balozi Chokala ambaye alisema analikumbuka vizuri tukio la kutekwa kwa Dk Shika na jinsi ubalozi ulivyomsaidia asipatwe na kadhia kubwa zaidi. “Ni kweli huyo jamaa ni daktari wa binadamu. Alisoma Chuo Kikuu cha Lumumba kilichopo Moscow, Urusi,” alisema Balozi Chokala.

Alisema kutokana na upekee wa yaliyomsibu Dk Shika, ubalozi ulilazimika kuingilia kati ili kunusuru maisha yake.
Kwa kumbukumbu zake, balozi huyo alisema Dk Shika alitekwa na majambazi waliokuwa wanataka fedha ambazo yeye mwenyewe (Dk Shika) alikuwa anajigamba kuwa nazo na kuwashawishi watekaji hao kumfuatilia.

“Majigambo ya kumiliki fedha nyingi hajayaanza leo. Tangu akiwa Urusi alikuwa anasema anamiliki fedha nyingi. Watu walimuamini kwa sababu alikuwa daktari anayetambulika, matokeo yake alitekwa,” alisema Chokala, ambaye amewahi kuwa mwandishi wa Rais wa awamu ya pili, Ali Hassan Mwinyi.

Balozi huyo alisema baada ya kufanikiwa kuwatoroka majambazi hao ambao baadaye walikamatwa na polisi nchini humo kisha kufunguliwa mashtaka, Dk Shika alipelekwa hospitali kwa matibabu akiwa amepoteza vidole kadhaa vya mikono yote miwili.

Alisema majambazi hao walimtesa kwa muda mrefu kwa kuwa mpaka anapatikana vidole hivyo vilikuwa vimeanza kuoza.
“Walimshikilia kwa muda mrefu kwa kuwa walihitaji fedha ambazo Dk Shika hakuwa nazo,” anakumbuka balozi huyo aliyestaafu mara baada ya kurudi nchini.

Alisema baada ya ubalozi kupewa taarifa zake, ulifuatilia na kugundua kwamba alipelekwa nchini humo na Wizara ya Afya, na alikuwa amelipiwa kila kitu ikiwa ni pamoja na tiketi ya ndege.

Wakati anatekwa, alisema Dk Shika alikuwa ameshahitimu lakini hakuwa na nauli ya kurudi nyumbani, hivyo akawa anahangaika kupata nafasi ya kuendelea na shahada ya uzamili.

“Tulipowasiliana na wizara walithibitisha kuwa ni mtu wao. Tuliandaa utaratibu wa kumrudisha bila yeye kujua kwa sababu hakuwa anataka kufanya hivyo,” alisema.
Akiwa anaendelea kuhudumiwa, ubalozi ulimuandalia safari ya kurudi bila yeye kufahamu kuepuka asitoroke.

Balozi Chokala alisema ilikuwa ni lazima Dk Shika arudishwe kuepusha janga jingine linaloweza kumkuta endapo angeendelea kuishi nchini humo. “Kujirudia kwa tatizo kama hilo kungeupa ubalozi lawama. Hatukutaka kujiweka kwenye nafasi hiyo,” alisema

Baada ya mipango yote kukamilika, askari wa ubalozini walimpeleka uwanja wa ndege na kumkabidhi kwa wahudumu wa ndege iliyokuwa inakuja Tanzania wakiwaelekeza wasimshushe popote isipokuwa Dar es Salaam ambako Wizara ya Afya ilikuwa inamsubiri.

Mpango huo ulitekelezwa kama ulivyopangwa na wizara ikathibitisha kumpokea mtumishi wake huyo ambaye balozi Chokala anasema alipewa nyumba na akawa anaendelea na majukumu yake.

“Akiwa Urusi, nilielezwa kuwa alikuwa ana matatizo ya kijamii ambayo yaliendelea kumuandama hata aliporudi. Nasikia kuna wakati alienda kwao na hakurudi tena kazini,” alisema.

Kwa muda wote wa kushughulikia sakata la ‘bilionea’ huyo, balozi alisema hakuonana naye na alipomsikia kwenye vyombo vya habari akawa hana uhakika ingawa jina lilikuwa lenyewe. “Siwezi kumsahau.

Tukio lake lilikuwa la kipekee,” alisema na kufafanua kuwa ubalozi haukuendelea kufuatilia kesi yake kwa kuwa walichokipa kipaumbele ni usalama wa Mtanzania huyo.

Kuhusu Dk Shika kuwa ni Rais wa kampuni ya Lancefort aliyoianzisha akiwa Urusi ambayo Serikali ya nchi hiyo ilitilia shaka mwenendo wake, hivyo kuifuatilia, Balozi Chokala alisema hafahamu chochote.

“Siwezi kulizungumzia hili. Kwa wakati huo, usalama wake ulikuwa muhimu zaidi na ndio tulioupa kipaumbele,” alisema.

Chanzo: Mwananchi
Alienda kwao wakati kwao wanasema hajawahi kuonekana? Then how come alienda spain kutokea Tanzania? Vipi hiyo wizara ya afya ilimtelekeza airport au? Balozi anasema hajawahi kumuona alikua anasikia tu huku akithibitisha hakua na hela sema ni majifuno tu kivipi sasa huku yeye hakuwahi kumuona na wala hajui taarifa za uchumi wake? then anatuambia tukio lake lilikua la kipekee kivipi?
Balozi kumbuka hichi ni kizazi cha kuhoji ukitaka ficha jambo jiandae na mbinu za kisasa zaidi sio old school
 
Forum statistics

Threads 1,238,987
Members 476,289
Posts 29,339,083