Njia panda ya Coca Cola Media mwambieni Mrembo mwanya aachie yote haya yataisha

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,546
108,874
Narudia tena kwa msisitizo kwa kusema kwamba Njia Panda ya Coca Cola Media mwambieni Mrembo mwanya ' aachie ' tu yote haya yataisha kwani hizi hasira anazisababisha Yeye kwa kula Pesa za Watu huku akipewa Treatment za Kifalme halafu likija suala la kutanua ' goli ' lake kwa VIP anamyeyusha na kwenda kwa Jamaa yake wa Dubai ( ambaye zamani alikuwa akipiga sana mziki TAZARA ) na habari zinamfikia anayetoa Pesa zake ( VIP ) na hasira zinamzidi hivyo nae kuamua sasa kulipiza Kisasi kwa kupitia Mbabe wa Town kwa sasa.

Halafu na Wewe Kiongozi wa Njia Panda ya Coca Cola Media uliyebaki hapa Dar es Salaam Tanzania hii kitu yote si unaijua lakini? Sasa kwanini na Wewe Mrembo mwanya akiwa anahitajika kwenda kulipia Treatment za Kifalme anazopewa huwa unamzuia kwa kumlindia Mali yake Kiongozi wako Mkuu aliyeko Dubai?

Sasa Ewe Kiongozi wa Njia Panda ya Coca Cola Media si unaona unavyoteswa sasa kwa gharama ya Mtu mwingine aliyeko Dubai? Kwani ukimwachia tu huyo Mrembo mwanya ' achapwe nao ' mara moja mbili tatu na Mr. VIP ili aridhike na mambo haya yaishe na mwende sawa kutakuwa na tatizo gani? Na kibaya zaidi huyo Mrembo mwanya anakusikiliza mno Wewe na ndiyo maana sasa ' mashambulizi ' yote yanaelekezwa Kwako.

Halafu na Wewe Kiongozi wa Njia Panda ya Coca Cola Media unakumbuka ulipotoka siku ile katika Mkoa ambao Mahaba / Mapenzi yalianzia na unasifika kwa ' Ulozi ' uliotukuka Watoto wa mjini wenzako wawili walikuambia nini hasa baada ya kugundua kwamba kumbe kuna ' Shimo ' moja mlilokuwa mnaingia wote Kipindi cha nyuma kisha ukamuajiri hapo hapo ulipo halafu ukampora kabisa Mbabe wa Town kwa sasa? Je Wewe Kiongozi sasa unakubaliana kabisa na ule msemo wa Wahenga usemao Kikulacho ki nguoni mwako?

Pole sana kwa yanayokukuta ila nimeamini hakuna jambo ambalo utalifanya ndani ya ardhi hii ya Tanzania halafu likawa ni Siri yako na mwenzako na nakubali sasa kwamba Mtanzania atakunyima tu Ugali na Pesa ila siyo Ubuyu / Umbea na mara nyingi mno Ubuyu / Umbea wa Mtanzania juu ya jambo fulani huwa unakuwa na ukweli 99.9%.
 
Sijaelewa, fafanua kidogo mkuu

Kwa leo mtanisamehe hapo hapo nilipoishia ndiyo hapo kama unashindwa kung'amua / kuelewa mwenyewe kimoyomoyo sina tena jinsi Mkuu. Ukituliza vizuri sana akili yako na kuanza kusoma taratibu huku ukivuta picha na kuweka fikra zako katika tukio husika basi mara moja utakielewa alichokiandika GENTAMYCINE. Leo ni mwendo wa ' mafumbo ' tu humu hivyo kama umezoea kumegewa, kutafuniwa na ulishwe ama hakika huu uzi utakutesa na utauchukia kwani utatoka nao kapa.

Nasema tena Mtanzania atakunyima tu Pesa na Kula ila Ubuyu / Umbea wala hakunyimi na atakupa vile vile na mara nyingi ubuyu / umbea wa Mtanzania huwa unakuwa na ukweli 99.9%. Naomba niishie hapa tafadhali.
 
Clouds Media na Mr. Zero wote pumbavuuu

Mkuu hivi katika huu uzi kuna mahala popote labda Mleta uzi ametaka Clouds Media na Mr. Zero? Ninachojua tu ni kwamba katika uzi huu kuna Njia Panda ya Coca Cola Media, Mbabe wa Town kwa sasa, Treatment za Kifalme, VIP, Mrembo mwanya na Jamaa wa Dubai pekee. Yawezekana labda umekosea kutuma hii post yako na umekuja nayo huku kwa bahati mbaya.
 
Kitendawili tega

Asikuambie Mtu Mkuu ' Mbunye ' kitu kingine hasa kwa Wenyeji wa Kanda ya Ziwa Sisi na mbaya zaidi hiyo ' Mbunye ' ikiwa Nyeupe halafu imejaziajazia / imenonanona halafu ina mwanya mzuri wa Kimahaba lazima tu utachanganyikiwa nayo na kuanza kuitolea Treatment za Kifalme.
 
Tega nikutege

Nawashangaa sana Watu hilo Fumbo nililolifanya liwe jepesi hivyo bado wanahangaika kulielewa. Na leo ndiyo wala sifunguki zaidi ya hapo mpaka nimsubiri Dereva wa Dodoma to Nairobi arejee Bongoland ili aweze kunipa nami maujuzi ilikuwaje aliikwepa ile Sayansi ya Mzungu ambayo huwa haikosei kusudi na Mimi huko mbele ya safari nami niweze kuzikwepa vile vile zile ' naniliu ' 28 hadi 35 pindi ' Kikinuka / Kikisanuka ' Kwangu.
 
Kwa mbaaaliiii nakuelewa, ila Ngoja nirudie Mara ya 21 huenda nikaelewa kwa ukaribu zaid

Naona unakaribia sasa kuelewa ila nakuomba tu sasa ukishaelewa picha nzima baki nayo tu mwenyewe Kimoyomoyo kwani mpaka leo bado hatujui ile Toyota Premio na Land cruiser nyeupe zote ziliekea wapi baada ya kutoka Capital City kufanya ' ukatili ' ambao hata haumpendezi Mwenyezi Mungu wetu.
 
Gent hebu weka picha yako kwenye huu uzi natamani nikuone mkuu maana huwa unanikosha sana mkuu

Tangia lini tena Mkuu tumeanza kuombana Minyago / Mipicha yetu halisi humu Mkuu? au unataka upate uhakika wa Kitaswira kwamba huyo utakayeenda kumrushia risasi 28 hadi 35 yupoje / anafananaje? In short Mkuu Mimi ni ' Suraless '.
 
Hahaha mkuu mimi najulikana bana na sina Xtrail Nyeupe na wala sina ujuzi wa kurusha risasi
 
Narudia tena kwa msisitizo kwa kusema kwamba Njia Panda ya Coca Cola Media mwambieni Mrembo mwanya ' aachie ' tu yote haya yataisha kwani hizi hasira anazisababisha Yeye kwa kula Pesa za Watu huku akipewa Treatment za Kifalme halafu likija suala la kutanua ' goli ' lake kwa VIP anamyeyusha na kwenda kwa Jamaa yake wa Dubai ( ambaye zamani alikuwa akipiga sana mziki TAZARA ) na habari zinamfikia anayetoa Pesa zake ( VIP ) na hasira zinamzidi hivyo nae kuamua sasa kulipiza Kisasi kwa kupitia Mbabe wa Town kwa sasa.

Halafu na Wewe Kiongozi wa Njia Panda ya Coca Cola Media uliyebaki hapa Dar es Salaam Tanzania hii kitu yote si unaijua lakini? Sasa kwanini na Wewe Mrembo mwanya akiwa anahitajika kwenda kulipia Treatment za Kifalme anazopewa huwa unamzuia kwa kumlindia Mali yake Kiongozi wako Mkuu aliyeko Dubai?

Sasa Ewe Kiongozi wa Njia Panda ya Coca Cola Media si unaona unavyoteswa sasa kwa gharama ya Mtu mwingine aliyeko Dubai? Kwani ukimwachia tu huyo Mrembo mwanya ' achapwe nao ' mara moja mbili tatu na Mr. VIP ili aridhike na mambo haya yaishe na mwende sawa kutakuwa na tatizo gani? Na kibaya zaidi huyo Mrembo mwanya anakusikiliza mno Wewe na ndiyo maana sasa ' mashambulizi ' yote yanaelekezwa Kwako.

Halafu na Wewe Kiongozi wa Njia Panda ya Coca Cola Media unakumbuka ulipotoka siku ile katika Mkoa ambao Mahaba / Mapenzi yalianzia na unasifika kwa ' Ulozi ' uliotukuka Watoto wa mjini wenzako wawili walikuambia nini hasa baada ya kugundua kwamba kumbe kuna ' Shimo ' moja mlilokuwa mnaingia wote Kipindi cha nyuma kisha ukamuajiri hapo hapo ulipo halafu ukampora kabisa Mbabe wa Town kwa sasa? Je Wewe Kiongozi sasa unakubaliana kabisa na ule msemo wa Wahenga usemao Kikulacho ki nguoni mwako?

Pole sana kwa yanayokukuta ila nimeamini hakuna jambo ambalo utalifanya ndani ya ardhi hii ya Tanzania halafu likawa ni Siri yako na mwenzako na nakubali sasa kwamba Mtanzania atakunyima tu Ugali na Pesa ila siyo Ubuyu / Umbea na mara nyingi mno Ubuyu / Umbea wa Mtanzania juu ya jambo fulani huwa unakuwa na ukweli 99.9%.
Nimeelewa....
Mawingu vs Le Mbabe wa vita
 
Mbunye haijawahi kumuacha mtu salama. Music Mwisho Saa 6, baada ya hapo police kazi kwao

Na hasa hasa hiyo ' Mbunye ' ikiwa inawindwa na VIP kwa muda mrefu halafu inazingua lakini Pesa yake inakula huku ikipata treatment zote za Kifalme na mwishowe ' Mbunye ' inaenda ' Kukanyagwa / Kubaiolojiwa ' Dubai kwa ' Msela ' wa zamani upigaji miziki ya Ndombolo pale TAZARA.

Wamwambie tu ' aachie ' hata mara moja mbili tatu tu yote haya yataisha na mambo kuwa mukidee / vyema na amani kutawala / kutamalaki.
 
Back
Top Bottom