IBM, Microsoft, Apple, Oracle mashirika makubwa ya computer yote mzizi ni Marekani. Hivi Afrika haiwezi kutengeneza OS yake badala ya kuitwa Windows 10 ikaitwa Nyumbu au kitu kama hicho?
Hivi vya...
Wakijiita Simba wa Teranga wakiwa chini ya kocha maarufu Bruno Metsu mfaransa huyu apumzike kwa amani wakiwa pia na wachezaji maarufu kama Diof,Tony silva,Diop,Ferdinand coly,Fadiga,Camara nk...
POLE SANA MAMA FAUZIA KILIO CHAKO TUMEKISIKIA NASI TUNAKUSAIDIA KULIA
Part-1
Asslam Aleykum
Jina langu naitwa Fauzia Abdullah Saif Al Bahry. Mimi ni mjane wa Said Iddi BAVUAI, na nimeishi nae...
Kuna nyuzi zinatushika sana humu j.f haipiti siku lazima ipitiwe,watu wanakesha humu. wana j.f kila mtu afunguke na uzi anauona umemshika haswaaa! mimi huu uzi wa J.f usiku wa manane kwa kweli...
Wadau
Huwa napitia na kusoma habari kutoka Magroup mbalimbali ya Wana CCM mitandaoni.
Nimeona post kadhaa hivi karibuni zikizungumzia pengo la wazi aliloliacha Prof. Muhongo kwenye sekta ya...
Wadau nauliza hili kwa maana nimeona hii video ikimuonyesha jamaa wa huko cambodia akipambana na kumkamata mamba bila tatizo lolote, yani kama vile anakamata kuku, Hii kweli inawezekana au wanakua...
Vyama vya upinzani Tanzania kiukweli vimelala sana , vimeacha kutetea haki na maslahi ya watu wanyonge kama vile:
.Ajira kwa vijana
.Ongezeko la mishahara kwa watumishi wa umma.
.Mikopo ya...
Na hapa ni karibia Waafrika wa nchi zote Kusini mwa Sahara, tunapenda sana kuwekeza kwenye ujinga, kama sijui protokali haikufuatwa,
Mara utasikia kavaa suti isiyoendana na viatu, kuna siku...
Itifaki imekaaje kumuuandikia Rais barua ili atatue matatizo ya pahali ulipo
Kuna ndg yangu anataka kumuuandikia rais barua ili atatue matatizo ya pahali pake
Ukoo wa Urio Meru kijana akitumikia viboko 70 vya makalio baada ya kutohudhuria msiba wa ndugu yake akaenda kufanya kazi yake ya bodaboda.
Tengeru, Arusha
Kiwango cha maendeleo ya nchi yeyote ile kinalingana na kiwango cha mawazo au fikra za watawala wa nchi yenyewe, uwezo wa kufikiri/mawazo ya viongozi ni zao la Jamii Husika la jinsi wanavyoruhusu...
Nimesikitishwa na Mkuu wa wilaya ya Geita kuameandika barua makanisa kupiga marufuku maombi ya mikesha makanisani Usiku.
kibaya zaidi vitu kama FIESTA kwao sio tatizo
Zitto alisema wakimaliza...
Nimeona mkuu wa mkoa Makonda ameshaleta kokoto, mchanga na matofari tayari kwa ujenzi wa ofisi za walimu. Sasa ningekuomba mkuu wa wilaya utujulishe yale mabanda ya biashara yaliyojazana pale...
JAMII LEO
Mkuu wa Wilaya ya Geita Mwalimu Herman Kapufi amesitisha vibali vyote vya waganga wa jadi katika wilaya ya Geita mpaka pale waganga hao watakapoomba vibali upya vitakavyokuwa na mchujo...
Habarini wana jukwaa kiufupi namshukuru mungu maana bila yeye nisingekuwepo kabisa nakumbuka mwezi wa sita nilipata kibarua mkoani singida cha ujenzi nilianza kazi japo mazingira yalikuwa magumu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.