Maendeleo ya nchi yeyote ile kinalingana na kiwango cha mawazo au fikra za watawala wa nchi yenyewe

mzee wa kijiwe

JF-Expert Member
Jun 25, 2012
935
1,000
Kiwango cha maendeleo ya nchi yeyote ile kinalingana na kiwango cha mawazo au fikra za watawala wa nchi yenyewe, uwezo wa kufikiri/mawazo ya viongozi ni zao la Jamii Husika la jinsi wanavyoruhusu changamoto hasi na Chanya za mawazo katikati ya Jamii.

Ukweli ni kwamba mawazo hasi yana mchango Mkubwa zaidi kwenye maendeleo Kuliko mawazo Chanya.

Hiitimisho ni kwamba, kuchukia mawazo hasi/upinzani ni kuyachukia maendeleo
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom