Ya siku nyingi na ishajadliwa hapa jf
Maombi ya ajabu ndio yapo vipi?Mi nisingekubali wameru na nyie mumezidi maombi ya ajabu
Nilikuwa namaanisha mamboMaombi ya ajabu ndio yapo vipi?
Safi kabisa kuna katabia au kaushamba flani hivi hasa mtu akitoka kijijini kwenda town ana jifanya mjuaji.hutaki kuudhulia misiba eti ww uko bize .tabia chafu sana siipendi kabisa.hasa wakifika dar yaaani inakuwa shida sana. Huyu kudharau msiba ilibidi angekula hata 100.Ukoo wa Urio Meru kijana akitumikia viboko 70 vya makalio baada ya kutohudhuria msiba wa ndugu yake akaenda kufanya kazi yake ya bodaboda.
Tengeru, Arusha
Kama kweli ni adhabu ya kijamii, basi kwanza ni lazima awe amekubaliana nayo, na viboko vinatakiwa visizidi 25 kwa mkupuo mmoja kwasababu za kitaalamu. Ukuharibu misuli mingi kwa pamoja inatoa protini nyingi kwanye damu na kuziba figo. Sasa kwa mfano akifa kwa kuziba figo huyo aliyempiga (waliompiga) kwa mujibu wa Kifungu cha 196 cha Orodha ya Makosa ya Jinai watahukumiwa kunyongwa hadi kufa. Kwa hiyo unaweza kuona awali kama jambo la kawaida tu halafu watu wakasota magereza miaka 10 hadi 15 na mwishowe wakanyongwa.Safi kabisa kuna katabia au kaushamba flani hivi hasa mtu akitoka kijijini kwenda town ana jifanya mjuaji.hutaki kuudhulia misiba eti ww uko bize .tabia chafu sana siipendi kabisa.hasa wakifika dar yaaani inakuwa shida sana. Huyu kudharau msiba ilibidi angekula hata 100.
Jamii yoyote yenye nidhamu lazima iwe na sheria na taratibu imara ili kulinda maadili.
Nawapongeza sana kwa utaratibu huo imara