Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Nawakumbusha ndugu zangu wapinzani kwamba watanzania ambao mmetumia muda wenu mwingi kuwatetea hawaoneshi kutambua kazi na sacrifice mnazofanya. Kwamfano mnawatetea watumishi waboreshewe maslahi...
0 Reactions
3 Replies
815 Views
Habari wanajamvi!!!! Nina rafiki yangu anataka kuchukua likizo bila malipo,ni mwajiriwa serikalini,idara ya elimu. Je,ni taratibu zipi afuate ili kupata hiyo likizo ya bila malipo? Ameulizia...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari zenu wandugu, natafuta kitabu cha [Hekaya za Abunuwasi] hata kwa kununua ....kikiwa softcopy (pdf) au hardcopy ni sawa tu...ni PM kama unacho tufanye business..
0 Reactions
33 Replies
11K Views
Chukua pop corn, tamthilia yetu inaendelea, hawa ndiyo next in line, naona chadema wamekomaa na kutekeleza ahadi kwa wapiga kura wao, ni kujiteka na kujikamatisha tu kama Tundu Lisu mpaka 2020,..
4 Reactions
9 Replies
1K Views
Wakuu chadema ni moja kati ya chama cha upinzani kilicho imara zaidi nadhani Africa mashariki... Tatizo lililo ibuka sasa hiki chama kimeingiliwa na wachumia tumbo kutoka ccm.... Kuanzia ngazi ya...
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Kumekuwa na ile fixed time ambayo ukilipia huduma ya king'amuzi kama ni kwa mwezi basi mwezi ukiisha unakatiwa huduma na hapo utatakiwa kulipia tena pasipo kujali tv umeitumia mara ngapi, hata...
7 Reactions
12 Replies
1K Views
Betri hiyo inatumika kuzalisha umeme wa solar. Hii ni changamoto kwa mikoa ya kati kama Dodoma ambako kuna jua la kutosha kuweza kuzalisha zaidi ya megawatt 100. We should move to solar energy.
0 Reactions
12 Replies
2K Views
naomba mwenye kujua kama tanga kuna ofisiz za TCRA anijuze tafadhali
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Tatizo la maji katika wilaya Serengeti kata ya Kenyamonta kijiji cha Nyagasense ni usanii mtupu, mwaka 2015 mnamo mwezi wa tano waziri wa M maji Prf. Maghembe alizinduwa mradi wa maji kijijini...
0 Reactions
0 Replies
627 Views
Wamechoka kila mara wanaangalia saa dakika ndo bado kipindi cha kwanza na ndo kwanza Sisi tunapiga zile Pasi za kibrazil aka Samba tukichanganya na mtindo wa total football na zile pasi fupi fupi...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Tanesco wananchi tunapenda kujua kama mgao wa umeme umerudi. Maana eneo la mapinga bagamoyo ni wiki moja sasa tunapata umeme kwa masaa 6 tu kati ya masaa 24. Kama leo umekatwa siku nzima na...
0 Reactions
37 Replies
4K Views
Wana jukwaa, Upole na ukimya ulioanza kutawala miongoni mwa abiria waliomo kwenye hiki chombo cha usafiri (lori) yawezekana dereva wa hili lori yupo kwenye spidi kali sana au ni nini...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Wadau Serikali ya JPM itazindua Kampeni Maalumu ya Kujenga Uzalendo Nchini mnamo tarehe 08/12/2017 huko Dodoma. Kauli Mbiu Ya Kampeni hii "TAIFA LANGU KWANZA" TBC wapo live sasa hivi...
0 Reactions
36 Replies
3K Views
Waziri Luhaga Mpina, amevunja mikataba ya wawekezaji waliokuwa wameingia ubia na kampuni ya Ranchi za Taifa NARCO katika ranchi za Dakawa na Mkata baada ya kushindwa kuendeleza eneo la hekta...
1 Reactions
8 Replies
4K Views
Salaam JF Ebu leo tusaidiane katika hili, upi ni mtazamo sahihi juu ya 1. Pre destination Life (hatima iliokwisha kupangwa) 2. Worked out destination ( hatima inayotafutwa) Katika mtazamo...
1 Reactions
1 Replies
990 Views
Naandika nikiwa nina majonzi makubwa sana, ni rafiki aliyekuwa sawa kabisa na ndugu yangu. Nikiwa mtoto kabisa kabisa mpaka utu uzima huu amekuwa ni rafiki wa karibu mno. Leo katutoka katika...
27 Reactions
110 Replies
9K Views
Habari zenu, Taarifa zinazovuma ni kwamba wale watumishi wa umma waliokuwa walimu wa leseni wakajiendeleza katika fani nyingine na kufanyiwa recartegorization waraka umetoka kuwa wafutwe kazi,haya...
4 Reactions
82 Replies
12K Views
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU), imeanza kuchunguza utaratibu wa familia za kabila la kichaga kutumia majani maarufu kama 'Sale' kufunika au kumaliza kienyeji kesi zinazohusu...
0 Reactions
3 Replies
5K Views
MATAPELI WA VIWANJA BAGAMOYO. Hawa ni matapeli wa kuuza viwanja Mapinga, Bagamoyo muwaogope. Wamekamatwa muda mfupi uliopita, mwenye t-shirt ya mistari anajifanya mtoto wa huyo baba aliyevalia...
10 Reactions
65 Replies
21K Views
katika pitapita zang wakuu nmekutana na hii nyimbo lyrics kama ifuatavyo:. " I know that I must do what's right Sure as Kilimanjaro rises like Olympus above the Serengeti"
1 Reactions
1 Replies
947 Views
Back
Top Bottom