mikhael_2406
New Member
- Oct 10, 2017
- 2
- 1
Nasikia barabara ya Ubungo mataa imefungwa,
Naomba muongozo wadau ikiwa nataka kwenda mwenge nikitokea tabata
Naomba muongozo wadau ikiwa nataka kwenda mwenge nikitokea tabata
Kama imefungwa na unatokea tabata , nenda mpaka external pita ile njia ya kulia ( inayoelekea ubungo Maziwa) ukifika mbele utakuta sehemu hiyo barabara inakutana na lami inayotoka ubungo kwenda mabibo - Luna Barabara ya vumbi imeambaa na ukuta baada ya kuvuka reli . Pita hiyo Barabara utatokea Barabara ya Morogoro maeneo ya shekilango, shuka kwa chini kama unaingia ubungo business park utapata sehemu ya kuingilia barabarabi vuka shika njia ya shekilango kuelekea sinza. Utakuwa umefika mwenge kwa njia hiyo.Nasikia barabara ya Ubungo mataa imefungwa,
Naomba muongozo wadau ikiwa nataka kwenda mwenge nikitokea tabata
Kama imefungwa na unatokea tabata , nenda mpaka external pita ile njia ya kulia ( inayoelekea ubungo Maziwa) ukifika mbele utakuta sehemu hiyo barabara inakutana na lami inayotoka ubungo kwenda mabibo - Luna Barabara ya vumbi imeambaa na ukuta baada ya kuvuka reli . Pita hiyo Barabara utatokea Barabara ya Morogoro maeneo ya shekilango, shuka kwa chini kama unaingia ubungo business park utapata sehemu ya kuingilia barabarabi vuka shika njia ya shekilango kuelekea sinza. Utakuwa umefika mwenge kwa njia hiyo.
Kindikwili- Mtwara