Mkuu wa Wilaya ya Geita kapiga marufuku mikesha ya waumini wa kikristo

kilaza mjanja

JF-Expert Member
Jun 2, 2016
654
1,143
Nimesikitishwa na Mkuu wa wilaya ya Geita kuameandika barua makanisa kupiga marufuku maombi ya mikesha makanisani Usiku.
kibaya zaidi vitu kama FIESTA kwao sio tatizo

Zitto alisema wakimaliza kwa wanasiasa watahamia kwenu. Waandishi wa habari, makanisa, wanafunzi, walimu, nk
 
Safi sana, piga marufuku mikesha na mapaza sauti ya misikiti usiku! Hayana msingi na ni usumbufu.
 
Mimi ningekuwa rais ningepiga kabisa marufu makelele yote ya kanisa na misikiti. Kwani waumini wao si wanajua muda wa ibada? Wanatukera sana sisi tusiamini hayo madini yao. Dini ndio chanzo kikuu cha ujinga wa kupinduki wa Binadamu.
Na zile za misikitini je? Au hayo siyo makelele?
 
Mimi ningekuwa rais ningepiga kabisa marufu makelele yote ya kanisa na misikiti. Kwani waumini wao si wanajua muda wa ibada? Wanatukera sana sisi tusiamini hayo madini yao. Dini ndio chanzo kikuu cha ujinga wa kupinduki wa Binadamu.

Mbona unatokwa na mapovu mkuu,bila hizo kelele za dini hakuna ustaarabu,hakuna amani hata hizo sheria kuzitii hakupo. Kwetu sisi waafrika dini zimetusaidia sana. Wakati Mungu anataka kuiadhibu sodoma na gomora nabii Ibrahim alimuuliza je utaharibu mwenye haki na mkosaji Mungu alimhakikishia hakika wakiwepo wenye haki 10 sitauharibu mji. Yamkini mambo mengi ambayo Mungu angeweza kutoa adhabu yanazuiwa kwa sababu ya hao unaowaita wapiga kelele na waombaji,maana kumcha Mungu ni chanzo cha maarifa
 
Back
Top Bottom