Uzi bora wa Mwaka.

Uzi bora wa Mwaka.

No Escape

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2016
Posts
6,662
Reaction score
7,834
Kuna nyuzi zinatushika sana humu j.f haipiti siku lazima ipitiwe,watu wanakesha humu. wana j.f kila mtu afunguke na uzi anauona umemshika haswaaa! mimi huu uzi wa J.f usiku wa manane kwa kweli ntafunga nao mwaka naupenda sana yaani una mastori adimu kuliko nyuzi zote humu na ndio uzi pekee unapatikana ile mida ya Wanga.Wewe Je?
 
Uzi wa mwaka ni Uzi likes. Katika historia ya jamiiforums hakuna Uzi uliobamba kama huo. Maana ndani ya mwaka mmoja tu umevutia wasomaji wengi kuliko Uzi mwingine
 
Huu hata mimi naufagilia sana. Halafu kuna vichwa kweli kule na utani ambao unaweza kukuvunja mbavu.
Ni kweli ule Uzi niliutembelea nikakutana na Madini yanashushwa hadi raha., kubwa unapigwa likes hadi unakimbia!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Kuna nyuzi zinatushika sana humu j.f haipiti siku lazima ipitiwe,watu wanakesha humu. wana j.f kila mtu afunguke na uzi anauona umemshika haswaaa! mimi huu uzi wa J.f usiku wa manane kwa kweli ntafunga nao mwaka naupenda sana yaani una mastori adimu kuliko nyuzi zote humu na ndio uzi pekee unapatikana ile mida ya Wanga.Wewe Je?
Dah....Uzi mzuri sana....hasa wale wasio na bedmates[emoji13] [emoji13]
 
Back
Top Bottom