Kituo kipya (stand mpya) ya magari Bukoba Mjini

Kituo kipya (stand mpya) ya magari Bukoba Mjini

Isack inno B

Member
Joined
Oct 28, 2012
Posts
97
Reaction score
51
Kituo kipya cha magari yanayosafiri kwenda mikoani Bukoba mjini (kagera) katika ujenzi na mkandarasi akiahidi kua hadi mwezi wa pili watakua washamaliza ujenzi na (stand) hiyo itaanza kufanya kazi.

Tizama videos zake hapa chini

https://youtu.be/9wurB3gqrmQ

Chokochoko zitaisha ramani hii hapa
6194c61a505e33641508856bf0352506.jpg
 
Siwaelewi Mimi stengi hiyo inayojengwa hii hapa ila kwa kuwa ni phase one inawezekana kunajengwa kwanza sehemu ya kupaki magari ambayo ni hii hapa
8b2490b799593465851286060e4adae6.jpg
Hata hiyo haiwezi kujengwa na kukamilika ndani ya miezi miwili.
 
Mipango huwa ni nzuri sana lakn swala LA itekelezaji ni shida. Angalia stand ya Geita.
Ipo na hali gan now.....shida tupu halafu ni mpya
 
Mipango huwa ni nzuri sana lakn swala LA itekelezaji ni shida. Angalia stand ya Geita.
Ipo na hali gan now.....shida tupu halafu ni mpya
Walau tuhame ile ya town mbovu sana
 
Back
Top Bottom