Silicon Valley
JF-Expert Member
- Mar 6, 2012
- 1,092
- 1,116
Naomba msaada shut off button haifanyi kazi labda utumie right click, au control-alt-delete then utumie button ya upande wa kulia ndio utaweza kuizima.
Nipo kariakoo wapi ntampata mtaalam competent na mwaminifu maeneo haya ? au nini cha kufanya ku solve tatizo ?
ukicheck task manager kuna lundo la activities haziishi