Hichi kitu kumbe bado kipo.

Hichi kitu kumbe bado kipo.

chanaga

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2013
Posts
344
Reaction score
190
Habarini bandugu,Niko Mbeya maeneo ya Mbalizi kikazi,mida hii nikiwa nipo mahali najaribu kusahu FRUSTRATION zangu mara ghafla na kutana na bia dume zao za TBL bia BINGWA,kwa kweli nilikua sijui kama bado inaendelea kuzalishwa imenikumbusha mbali sana miaka hiyo MTU akipiga bia nne kinachofuata na kuvua nguo.
15124884784161055846879.jpg
 
Habarini bandugu,Niko Mbeya maeneo ya Mbalizi kikazi,mida hii nikiwa nipo mahali najaribu kusahu FRUSTRATION zangu mara ghafla na kutana na bia dume zao za TBL bia BINGWA,kwa kweli nilikua sijui kama bado inaendelea kuzalishwa imenikumbusha mbali sana miaka hiyo MTU akipiga bia nne kinachofuata na kuvua nguo.View attachment 644678
Hiyo sio bia ni konyagi, hata ile the kiki
 
umenikumbusha jamaa zangu walikuwa wanapinduka ile mbaya kwa kubukia bingwa, ni kati ya bia zilizokuja nakutamba sana,
 
Bingwa na Balimi ndio pombe lainiiiii sana kwa sasa kwa jinsi vyuma vilivyokaza wakati Pilsner ni bia ya mabishoo na slay queens.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom