Msaada: Shirika gani la Ndege ni zuri kusafiri nalo toka Dar es Salaam hadi Mwanza

marxlups

JF-Expert Member
Dec 12, 2011
13,794
2,000
Ndugu wanaJF, nina ndugu anahitaji kusafiri kwa moja ya mashirika ya ndege kutoka Dsm kwenda Mwanza hivi karibuni, swali ni kwamba;
  • Shirika gani la ndege lina bei zenye unafuu ikiwa mtu anasafiri na mtoto wa chini ya umri wa miaka 10?
  • Utaratibu wa kupata ticket/booking toka Mikumi Morogoro
Natanguliza shukrani kwa watakaojali na kusaidia katika hili
 
reyzzap

JF-Expert Member
Oct 3, 2014
5,407
2,000
Ngoja waje mkuu, mi napandaga fuso za makebich, nikipanda basi ujue ni lookman ile ya zaman, nahc wazee wa mwanza mnaijua vzr, ukiipanda hakikisha umekula ugali wa kutosha na taulo la kufutia jasho, pili ng'ang'ania seat yako mana likikanyaga hata kisoda lazma uende mpaka kweny carier kwanza ukirud wazee washacover gap inakubd na wewe uwasubirie ufanye timing. Tatu ukishafka mwanza tatfa kituo cha afya kufanya realocation of organ, mana kuanzia tumbo, utumbo, figo, ini na nyongo yake vitakua vimehamia kooni.
 
SODIUM CYANIDE

JF-Expert Member
Jun 5, 2013
671
1,000
Ndugu wanaJF, nina ndugu anahitaji kusafiri kwa moja ya mashirika ya ndege kutoka Dsm kwenda Mwanza hivi karibuni, swali ni kwamba;
  • Shirika gani la ndege lina bei zenye unafuu ikiwa mtu anasafiri na mtoto wa chini ya umri wa miaka 10?
  • Utaratibu wa kupata ticket/booking toka Mikumi Morogoro
Natanguliza shukrani kwa watakaojali na kusaidia katika hili
Kampuni yenye gharama nafuu ni air tanzania. Booking ya ticket fanya online mkuu. Nafikiri itapendeza.
 
Mzigua90

JF-Expert Member
Sep 23, 2014
35,868
2,000
Ngoja waje mkuu, mi napandaga fuso za makebich, nikipanda basi ujue ni lookman ile ya zaman, nahc wazee wa mwanza mnaijua vzr, ukiipanda hakikisha umekula ugali wa kutosha na taulo la kufutia jasho, pili ng'ang'ania seat yako mana likikanyaga hata kisoda lazma uende mpaka kweny carier kwanza ukirud wazee washacover gap inakubd na wewe uwasubirie ufanye timing. Tatu ukishafka mwanza tatfa kituo cha afya kufanya realocation of organ, mana kuanzia tumbo, utumbo, figo, ini na nyongo yake vitakua vimehamia kooni.
 
Vin Diesel

JF-Expert Member
Mar 1, 2011
9,097
2,000
ATC naona wanajitahidi siku hizi...hata bei zao zaridhisha.

Fastjet is the cheapest option has ukikata mapema...kuna wakati hawakuwa realible ila naona siku hizi wanajitahidi
 
kasulamkombe

JF-Expert Member
Oct 3, 2017
2,234
2,000
KWANI TUNA MANGAPI? LIPO MOJA TU LA SERIKALI NA WALE WENGINE WANAOHAIRISHA SAFARI BILA TAARIFA! UKIAMUA KUSAFIRI NA NDEGE UJIANDAE KISAIKOLOJIA UKIWA UWANJA WA NDEGE LOLOTE LINAWEZA KUTOKEA.NDEGE WANAWEZA WAKAKUAMBIA IMEZUIWA CANADA NA WANAOTUDAI AU NYINGINE WAKAKUAMIA BADO IPO ZANZIBAR IMESHINDWA KUPAA NA WATAKUPA SODA URUDI NYUMBANI MPAKA SIKU NYINGINE WAKITENGENEZA
Ndugu wanaJF, nina ndugu anahitaji kusafiri kwa moja ya mashirika ya ndege kutoka Dsm kwenda Mwanza hivi karibuni, swali ni kwamba;
  • Shirika gani la ndege lina bei zenye unafuu ikiwa mtu anasafiri na mtoto wa chini ya umri wa miaka 10?
  • Utaratibu wa kupata ticket/booking toka Mikumi Morogoro
Natanguliza shukrani kwa watakaojali na kusaidia katika hili
 
jogi

JF-Expert Member
Sep 25, 2010
25,615
2,000
KWANI TUNA MANGAPI? LIPO MOJA TU LA SERIKALI NA WALE WENGINE WANAOHAIRISHA SAFARI BILA TAARIFA! UKIAMUA KUSAFIRI NA NDEGE UJIANDAE KISAIKOLOJIA UKIWA UWANJA WA NDEGE LOLOTE LINAWEZA KUTOKEA.NDEGE WANAWEZA WAKAKUAMBIA IMEZUIWA CANADA NA WANAOTUDAI AU NYINGINE WAKAKUAMIA BADO IPO ZANZIBAR IMESHINDWA KUPAA NA WATAKUPA SODA URUDI NYUMBANI MPAKA SIKU NYINGINE WAKITENGENEZA
KIMOTKO WAKO VIZURI
 
Kingdavi.ii

JF-Expert Member
Jul 29, 2015
1,181
2,000
KWANI TUNA MANGAPI? LIPO MOJA TU LA SERIKALI NA WALE WENGINE WANAOHAIRISHA SAFARI BILA TAARIFA! UKIAMUA KUSAFIRI NA NDEGE UJIANDAE KISAIKOLOJIA UKIWA UWANJA WA NDEGE LOLOTE LINAWEZA KUTOKEA.NDEGE WANAWEZA WAKAKUAMBIA IMEZUIWA CANADA NA WANAOTUDAI AU NYINGINE WAKAKUAMIA BADO IPO ZANZIBAR IMESHINDWA KUPAA NA WATAKUPA SODA URUDI NYUMBANI MPAKA SIKU NYINGINE WAKITENGENEZA

we jamaa unaweza kusema zina expansheni joint
 
kasulamkombe

JF-Expert Member
Oct 3, 2017
2,234
2,000
we jamaa unaweza kusema zina expansheni joint
HE HE HAWA WASOMI WETU MWAKA HUU WATATUMALIZA! EXPANSION JOINT
EXPANSN POINT.jpg
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom