Watu wa Dar nawependea mambo yafutayao

Watu wa Dar nawependea mambo yafutayao

Tajiri Tanzanite

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2016
Posts
3,087
Reaction score
5,900
Hapo vip!!

Binafsi mimi ni mtu wa Arusha asilia but nimetembea Dar na kukaa kimtindo.

Pia nimesoma nao katika level fulani ya Elimu binafsi watu wa Dar nimependezwa na tabia zifuatazo.

1.Wanaume wa Dar hawapendi fuja, kiukweli ni waungwana fulani and kama utaanzisha wanakimbia coz niwaoga sana ila wanamaneno sana, wanaweza wakakuchimba biti ukajua hapa siponi Leo.

2.Wengi wanahuruma unaeeza ukapata shida fulani wakakusaidia from no where.

3.Wanaubinadamu sana, hawezi akakufanyia ukatili, niwastarabu.

4.Sio selfish.

Wanawake wa Dar.

1.Ni warahisi hauwezi ukaspend pesa zako then akakutosa kirahisi,ni rahisi kukupa mzigo.

2.Hawakupigi tarehe sana kwenye mapezi cha msingi onyesha usereous.

3.Unaeeza usimtongeze then unajikuta unakula mzigo kirahisi.

Arusha.
Wanaume.
1.Wapo very serious hataki mazoe na mtu ovyo ovyo.

2.Hatunaga huruma kirahisi rahisi kama hatujui msaada ni ngumu kupata.

3.Hakusalimie kama hakufahamu hata kama mnapishana au mnaishi nyumba moja.

4.Wanapenda kutembea na mguu wa kuku kama wanapesa.

5.Urafiki atakao taka kwako ni wamaslahi kama huna kitu anakudharau na kukuona ***** tu.

6.Fujo kwetu kawaida ukizingua unapewa dawa.

7.Hawapendi kujichanganya.

8.Ni wapambanaji sana(wanatafuta pesa sana)

9.Wanapenda pesa sana, kuliko wanawake.
 
Dar hakuna wanaume wa Arusha na Arusha hakuna wanaume wa Dar? Tabia zako sio za kila mtu
 
FB_IMG_1512111832368.jpg

Kijana/mkorofi wa mkoani Chuga




Vijana wa mikoani /vijijini mna matatizo na wanaume wa
Dar? Kila siku thread za wanaume wa Dar tu!

Kama Dada zenu kujileta wanajileta wenyewe. Tena Waarusha wakiona Mbongo 'full mtetelezo'
 
Kama kawaida yangu mwanaume wa Dar nishakula chakula cha usiku, soseji yangu moja na kipande cha nanasi naenda kulala.
 
Back
Top Bottom