Wahitimu wa masomo ya sanaa tusikate tamaa.

mumak

JF-Expert Member
Oct 24, 2013
958
500
Kutokana na serikari kutotoa ajira za walimu wa masomo ya sanaa wahitimu wengi wengi tumekua tukikata tamaa za kupata ajira,hivyo napenda kuwatia moyo wahitimu wenzangu kwamba mambo yatakua mazuri tu soon tumuombeeni tu muheshimiwa rais naamini siku moja atatufanyia suprise hivyo tumpe mda akamilishe miradi mikubwa kwanza,naamini ndani ya mwaka ujao huwenda nasi akatufikilia pia kwahiyo tulinde taaluma zetu tusijiingize ktk makundi hovu ili tuje kujenga taifa letu.nimaoni yangu tu wandugu.
 

Anakuja Yesu

JF-Expert Member
Mar 3, 2017
564
500
Nimesoma maandishi yako ila sijeelewa ulitaka kutuambia nn hasa?au mwenzetu umejielewa?soma tena halafu tuelekeze ujumbe uliokuwa unautarajia kwetu tuupate.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom