Utekekezaji Wa Ujenzi Wa Hospitali Ya Rufaa Musoma - Mara Waanza

Boniphace Kichonge

JF-Expert Member
Jul 31, 2017
1,606
1,956
Wadau
Serikali imeanza kutekekeza awamu ya tatu ya ujenzi wa mradi mkubwa wa Hospitali ya rufaa ya Mkoa wa Mara kupitia Wakala wa Majengo nchini. Ujenzi huo ni kutimiza ahadi aliyoitoa Mh Rais John Magufuli wakati wa kampeni za uchaguzi.
 
Back
Top Bottom