Podium aliyosimama mkuu wetu

Yales

JF-Expert Member
Oct 3, 2015
518
500
Wakuu,

Kuna Team inayoambatwna na Rais nafikiri ama kwa kukosa ubunifu au uharaka basi wanatengeneza Podium ya kawaida mno.

Nimekosa kiswahili cha Podium ila ni Ile sehemu anayosimama raisi akihutubia. Inakuwa na Presidential standard seal sasa emu tazama hii aliyosimama mkuu wakati yupo Dodoma.
coveeee-660x400.jpg


Haikuvutia kabisa ingawaje Mh Rais alivaa suti safi kabisa Tazama Na hii podium Alipokuwa nchi jirani uone ilivo.
pombe.jpgHizi ni baadhi ya picha za nje
f85a6f9a707262fa2746d8dfc0f8c07e.jpg
211a675310740e5939c079f0a77aed9c.jpg

04d4a44432fd1b5d7f2bb24e7ca9e0da.jpg
 

Lusungo

JF-Expert Member
Jan 4, 2014
21,986
2,000
Podium haitakiwi imfunike Rais hivyo hata kama ni mfupi walipaswa wampe ya size yake
 

Ukwaju

JF-Expert Member
Oct 19, 2010
12,573
2,000
kweli kabisa tatizo ni UPIGAJI WA PICHA
jatua 7 nyuma
colour isiakisi
resolutiom
brightnes eic
 

Yales

JF-Expert Member
Oct 3, 2015
518
500
Kwa kifupi Podium yetu ni mbaya mno..
Kwanza mimi najiuliza ile rangi nyekundu ya nini Pale kwenye podium, Tuna bendera nzuri sana mkuu kwanini wasi design podium ya namna kama bendera au hata wachukue walau rangi ya kumatch na Suit anazovaa mkuu
 

ArchAngel

JF-Expert Member
Oct 11, 2015
4,461
2,000
Kwanza mimi najiuliza ile rangi nyekundu ya nini Pale kwenye podium, Tuna bendera nzuri sana mkuu kwanini wasi design podium ya namna kama bendera au hata wachukue walau rangi ya kumatch na Suit anazovaa mkuu
Masharti ya mganga
 

Bill

JF-Expert Member
Oct 5, 2007
6,531
2,000
Ni namna ya upigaji picha, si urefu wa podium. Wenye profession ya upigaji picha wanaelewa mtu wa hadhi ya rais anatakiwa apigwe picha kutokea chini yeye akiwa juu, ina maana yake na si wote wanaelewa hili
Mkuu kuna vilaza kibao sana siku hizi waliojipa jukumu la kukosoa Magufuli kwa lolote ili mradi wawe wamepost uzi wa kukosoa Magufuli. Ni hakika ukiona hiyo picha mara moja unatambua ni tatizo la mpiga pichq na sio podium kuwa ndefu.
 

Bayyo

JF-Expert Member
Apr 2, 2012
1,758
2,000
tatizo ni rangi?? au ni urefu wa kizimba??? au mpiga picha??? mleta mada what is your concern?
 

Siafu na Manga

JF-Expert Member
Aug 5, 2013
2,782
2,000
tatizo ni rangi?? au ni urefu wa kizimba??? au mpiga picha??? mleta mada what is your concern?
mleta mada ni mmoja wa watu ambao hawajawahi kuona zuri kwao kila kitu ni kibaya tu as long as hakijafanywa na upande wake.

ni wale ambao ukikaa wanasema kwa nini amekaa.
ukisimama wanasema kwa nini amesimama.
 

Yales

JF-Expert Member
Oct 3, 2015
518
500
mleta mada ni mmoja wa watu ambao hawajawahi kuona zuri kwao kila kitu ni kibaya tu as long as hakijafanywa na upande wake.

ni wale ambao ukikaa wanasema kwa nini amekaa.
ukisimama wanasema kwa nini amesimama.
Boss penye kusifia tusifie tu na penyw kukosoa tukosoe, Kwanza hapo kwenye uzi wangu sijamkosoa Mheshimiwa Rais hata kidogo, Isipokuwa nimetoa mapendekezo kwa Team anayoambatana nayo mana Rais hata hahusiki na huo uundaji wa iyo podium
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom