technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 12,474
- 50,837
Wakuu Leo nimemkumbuka sana babu Seya..
Nimekumbuka kesi yake ya ubakaji hivi waliobakwa wako wapi wazazi wao hawawezi kumsamehe kama ni kweli .
He Serikali kama inaweza kuwasamehe waahujumu uchumi kama Mramba na Yona inashindwa nini kumsamehe babu yetu kifungo chake mbona ni kikali sana?.
Mbona watu wengi wanasamehewa tu kwa Babu yetu kosa lake hasa ni lipi?.
Wanasheri mnisaidie lakini Mimi ninachojua kesi yake sio kesi ya kawaida.
Ningependa kama Serikali inaweza kuwaachia wahujumu uchumi inashindwa nini kumuachia Babu yetu.
Nimekumiss sana Babu Seya..