Bomoabomoa kulikumba jengo la PPF-House Posta?

TAMKO

JF-Expert Member
Oct 11, 2011
1,090
762
Ndugu Wanajamvi, nimeipitia Sheria hii ya BOMOABOMOA Imenistua Kidogo. Fafanuzi ya Ssheria hii inavyosema Kwamba kutokea Askari Monument, ukakamata barabara ya Umoja wa mataifa na kunyokea Morogoro Road kiasi Cha Kilometa 10 (ambazo ukipima zinaishia Ubungo) ni Upana wa mita 120 yaani 60 Kila upande.

Na kuanzia Ubungo kuna kilometa 6 say mpaka kimara za mita 180 yaani 90 Kila upande. Na ukisoma hapo kutokea kimara hadi mlandizi ni upana wa mita 120 Kila upande. Kisha mlandizi hadi Ruvu inapungua mita 180 means 90 each side na kisha kuanzia Ruvu hadi morogoro ni 120 means 60 each side.

Watu wa Kimara hadi kibaha wamesha bomolewa 120m Kila upande na barabara sasa inasoma 240m. Sasa imebaki Kimara hadi Askari Monument ambayo Maghorofa yote (la Tanesco Chamtoto) yanatarajiwa Kubomolewa MANAKE Sheria ni Msumeno.
IMG_1183.PNG
 
Kama BomoaBomoa Itawaogopa Watu wa POSTA, na Majengo yao, Basi maskini wananchi wengine watakuwa WAMEONEWA KWELIKWELI. Sheria itakuwa unaonea Dagaa.. inaonea wananchi maskini ..!
 
Ndugu Wanajamvi, nimeipitia Sheria hii ya BOMOABOMOA Imenistua Kidogo. Fafanuzi ya Ssheria hii inavyosema Kwamba kutokea Askari Monument, ukakamata barabara ya Umoja wa mataifa na kunyokea Morogoro Road kiasi Cha Kilometa 10 (ambazo ukipima zinaishia Ubungo) ni Upana wa mita 120 yaani 60 Kila upande.

Na kuanzia Ubungo kuna kilometa 6 say mpaka kimara za mita 180 yaani 90 Kila upande. Na ukisoma hapo kutokea kimara hadi mlandizi ni upana wa mita 120 Kila upande. Kisha mlandizi hadi Ruvu inapungua mita 180 means 90 each side na kisha kuanzia Ruvu hadi morogoro ni 120 means 60 each side.

Watu wa Kimara hadi kibaha wamesha bomolewa 120m Kila upande na barabara sasa inasoma 240m. Sasa imebaki Kimara hadi Askari Monument ambayo Maghorofa yote (la Tanesco Chamtoto) yanatarajiwa Kubomolewa MANAKE Sheria ni Msumeno.
Nimegundua iPhone tu hapa mkuu
 
Back
Top Bottom