Wakuu habari,
hivi ni kwanini inakuwa rahisi kwa wachezaji mpira kurudi sehemu zao walizoanzia mpira baada ya miaka kadhaa kupita lakini inakuwa ngumu kwa fani nyingine?
Utakuta mtu kama rooney...
Wakuu msaada tafadhari.
Nakaribia kuoa mtoto mkaree sana. Sasa nahitaji ulinzi binafsi. Kabla sijapata mguu wa kuku ningependa nipate mafunzo jinsi ya kuutumia.
Mimi bahati mbaya miaka yetu ule...
Amani iwe kwenu,
Kama mnavyojua hivi karibuni kutakuwa na uapishwaji wa mawakili wapya, sasa huko nyuma kabla ya kuapishwa huwa kuna processes zinafuatwa kabla ya kuapishwa, moja wapo wa process...
Mwanamuziki wa dansi, Nguza Viking ‘Babu Seya na mwanaye Johnson Nguza, maarufu kwa jina la kisanii la Papii Kocha, wamefanyiwa maombi maalumu yaliyodumu kwa takriban saa tano baada ya kutoka...
Mauzo ya hisa katika Soko la Hisa la Dar es salaam (DSE), yameshuka kutoka Sh bilioni nne wiki iliyopita hadi Sh bilioni 3.7 wiki hii kutokana na kushuka kwa bei ya hisa za baadhi ya kampuni...
Jamani kusema ukweli hili jambo ni gumu sana la Kupima huo Ugonjwa wa Ukimwi.
Binafsi Nafsi inasita sana sana nikikumbuka ile idadi ya mademu niliopita nao na ninaondelea kupita nao mpaka sasa...
Tangu jana mchana nimejaribu kwenda kwenye ATM za Bank ya Posta kutoa fedha kwenye ATM naambiwa BENKI YAKO HAIPATIKANI.
Kumekuwa na mfululizo wa matukio ya aina hii au yanayofanana na haya kutoka...
A nine year old boy from Mtondia, Kilifi County will not celebrate his tenth birthday after he committed suicide because he lost in a gamble with his friends.
Kilifi police boss Alexander Makau...
Vijana Kama hatuta Tumia platform hii (JF ) ku discuss issues za kujenga akili zetu na kujenga nchi yetu , hatutapata nafasii pengine.
Wengi humu ni wasomi tusilete mada za hovyo .
Tutumie nafasi...
Tulihama Nachingwea mwaka 1986,I was so young by then.
Marehemu mama Yangu aliwahi nunua Shamba kubwa,But wakati tunahama kule mama Alimuachia Shamba rafiki yake mama Mbwana,
Na...
Ni imani yangu kuwa mu wazima wa afya, na kwa namna moja au ingine ujumbe huu ama andiko hili linasomwa nanyi. Nimeamua kutumia jukwaa hili au njia ya mtandao wa kijamii kwa sababu si rahisi...
TAR kwanini mnawanyanyasa wafanyabiashara kiasi hicho? Kama kuna mfanyabiashara ambaye hana ugojwa wa moyo kwa sasa hivi nchini Tanzania sijui!
Ni kosa gani kubwa kiasi hicho wafanyabiashara wa...
MTOTO mwenye umri wa miaka sita Joseph Simon[6]mkazi wa kijiji cha Buzanaki, Kata ya Nyamarimbe wilaya na mkoa wa Geita ameuawa na fisi na kisha kuliwa baadhi ya viungo vya mwili wake kabla ya...
Hospitali hii maarufu kama ya mkoa inalidhalilisha taifa kwani imepakana na kituo cha mikutano cha AICC, ofisi ya mkuu wa mkoa,tra, etc inatia aibu kwa mazingira yake ya uzio wake.
Uzio huu ni...
Taa hizi zilizojengwa maeneo ya stendi ya namanga, crdb na kona esso ni bughudha tupu kwa maisha ya wakazi wa jiji hili. Taa hizi zinasababisha msongamano mkubwa wa magari nyakati zote za...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiangalia ubora wa kiatu cha Mrakibu Msaidizi wa Magereza Melkior Komba, katika Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma.
Viatu hivyo...
Kutokana na jengo kubomolewa mifumo ya luku imekuwa dusturbed na haifanyi kazi toka jana saa 2 asubuh. Hii ni kutokana na upishaji wa jengo kubomolewa. Tanesco ambayo huwa inauza takribani bil3.5...
Wakuu, technology ndio kila kitu kwa sasa Pia kupitia Tech data collection na Management imekuwa Rahsi sana, Tunahitaji mifumo Sophisticated ya Kukusanya Data zote za Taasisi zinazofanana na Kuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.