Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

THE CHAMELEON MINDSET; MOJA YA MKAKATI KABAMBE KATIKA MAFANIKIO YAKO KAMA KIJANA WA KARNE YA 21-22. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Mwanafalsafa Isomwe na yeyote. Ieleweke na wenye ufahamu...
9 Reactions
26 Replies
505 Views
Naam, matatu. Mawili ya hadharani na moja la faraghani. Nitayataja tu na sitayafafanua, maana yanajulikana. Kadhalika kila mmoja anajua ni kwa namna gani na aidha ni kwa wakati gani...
12 Reactions
39 Replies
910 Views
Unakuta mtu anaamka saa 11 alfajiri kuanzia Jumatatu hadi jumapili kwenda kazini ambapo anatoka jioni au usiku kabisa. Kuna baadhi ya watu wanasema bora uhangaike ukiwa kijana ili ufurahie ukiwa...
8 Reactions
21 Replies
362 Views
Beijing Auto Show 2026 Wazee teknolojia gani mpya imetoka ? Vyuma gani vikali vimetambulishwa ? Mad Max Xi Jinping
3 Reactions
5 Replies
205 Views
Kuna mrundi sijui ni muha mmoja apa saba saba Tanga alikua anaongea na mkewe kwa simu amwambia eee amakulu ni meza,walakize,ee niko mombasa nitakupigia nikifika escot.Mi nashangaa jamaa kwanini...
2 Reactions
5 Replies
166 Views
Hivi ni vitu vya msingi ukivijenga watu awezi kuiga(copy) na ndio vinaleta heshima na alama ya kweli katika jamii Unaweza kuwa na mafanikio makubwa lakini ukikosa mambo aya watu wanaweza...
7 Reactions
10 Replies
512 Views
Jifunze au boresha tabia hizi zitakufisha mbali katika maisha yako 1.Mungu kwanza, muweke Mungu wa kwanza kwenye kila hatua ya maisha yako, kuna level hili kufikia inahitaji nguvu za Mungu na sio...
7 Reactions
8 Replies
534 Views
.......tatu, washiriki wa ghasia za wakati na baada ya uchaguzi mkuu walibeba silaha za aina mbalimbali, zikiwemo mawe, nondo, mkuki, sururu, fimbo, marungu, visu, vibiriti, vipulizi, bunduki...
0 Reactions
9 Replies
373 Views
  • Featured
Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Ambwene Yesaya (A.Y), ameeleza mtazamo wake kuhusu mjadala wa “mdundo wa taifa” katika mahojiano na kituo cha redio cha East Africa Radio, Aprili 10, 2026...
8 Reactions
28 Replies
2K Views
Huwa nawashangaa sana watu wanakula utumbo wa ng'ombe mbuzi na wanyama wengine . Hivi mnawezaje wakuu kula utumbo kwanza huwa una kishombo fulani hivi huwa sikielewi yani unaweza tapika ila kuna...
9 Reactions
73 Replies
1K Views
Kuna wakati, matibabu ya hospitali na hata ya waganga wa miti shamba hugota, hufikia mwisho yaani hufikia point of no return. Imagine umetembelea hospitali zote kubwa hapa nchini mfano BUGANDO...
3 Reactions
10 Replies
206 Views
Kama hukupoteza ndugu yako 29 Oct mwambie Mungu asante, ile siku kwa kifupi ni siku mbaya ni siku ambayo shetani na majeshi yake walivuna haswa damu za Watanganyika. Endeleeni kupumzika kwa amani...
0 Reactions
2 Replies
144 Views
Nishazeeka nasikia tu stori sijui kitu wakuu, ninesikia Kuna mtu katajwa nikashtuka, inasemekana ndo mmiliki ila matatizo haya, sijafurahishwa, sababu naijua biashara inavo vuruga unapo pata...
3 Reactions
49 Replies
2K Views
Kuna kazi viwandani malipo ni Elfu 5 kwa siku. Na hiyo Elfu 5 mtu anaweza fanya shopping kubwa na kula ata siku 2. Sasa mtu unaenda ATM una balance ya 48,000/= unatakiwa utoe Elfu 40 na kuicha...
19 Reactions
53 Replies
765 Views
Anonymous (c258)
Kila maeneo ukipita kwenye hiyo Barabara lazima utakuta kuna maeneo ni pabovu au kuna viraka kama vyote. Serikali imekaa kimya, ajabu imeleta Mei Mosi ifanyike Njombe, hata hivi viraka vinazibwa...
0 Reactions
1 Replies
140 Views
Kazini kuangia saa Moja na nusu kutoka saa kumi kamili. Je unaweza kufanya vipi kitu nje na KAZI yako Ahsante
4 Reactions
34 Replies
500 Views
Niliamka usingizini leo muda wa saa 9 kasoro usiku nikasikia TBC kipindi fulani kinaishiria.Kuna fundi wa nguo alikuwa akihojiwa,kwa kweli nahitaji mawasiliano naye yeye moja kwa moja au kupitia...
0 Reactions
6 Replies
5K Views
Member humu jukwaani wana hisia mseto hivyo kuruhusu emoji 14 tu, kwenye member wenye hisia na mtazamo mseto ni ku minya uwezo wa ufikiri na reaction za baadae. baada ya kuwa na emoji 14 tu mtu...
0 Reactions
0 Replies
67 Views
Niwe mkweli, uchumi wetu kwenye kona ya soko la hisa una tabia yake yenyewe tu ambayo ni unique dunia nzima. Hii ni sababu zile factors ambazo zinatambulika 'globally' kuathiri bei ya hisa za...
7 Reactions
21 Replies
664 Views
Back
Top Bottom