Kuna mrundi sijui ni muha mmoja apa saba saba Tanga alikua anaongea na mkewe kwa simu amwambia eee amakulu ni meza,walakize,ee niko mombasa nitakupigia nikifika escot.Mi nashangaa jamaa kwanini amwambia mwenzie yuko mombasa ina maana hajui kua kashaingia Tz?kidogo nimwambie oya apa sio mombasa ni Tanga Tanzania.