Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Mwamba huyo mmarekani mweusi ni miongoni wa makomandoo maalum wa secret service. Unaambiwa alivyoingia tu ukumbini baada ya ufyatuliaji wa risasi yeye na timu yake walitumia mbinu za medani na...
4 Reactions
7 Replies
311 Views
Usiku huu maeneo ya Palm beach mataa kutokea Aga khan, watoto waili chini under 10, wanafanyishwa biashara na kuomba pesa huku wazazi wakiwa chini ya miavuli. Watoto wananyeeshewa na mvua baridi...
0 Reactions
0 Replies
100 Views
Anonymous (c258)
Ninapenda kuwasilisha malalamiko yangu kuhusu ujazo wa gesi ya kupikia. Tarehe 24 March 2026 nilijaza gesi kama kawaida lakini cha kushangaza ni kwamba tarehe 10 tu ya mwezi Aprili gesi imeisha...
3 Reactions
10 Replies
229 Views
Habarini. Mwaka 2023 waziri mkuu alitangaza sera mpya ya elimu, ikifuta darasa la saba kuanzia 2027. Hivyo wanafunzi waliopo darasa la 4 mwaka huu wataishia std 6 by 2027 na kwenda kuanza form 1...
5 Reactions
25 Replies
1K Views
Najua waliopiga kura (Wabunge) wamezingatia vitu vingi sana kumchagua mgombea yeyote aliyeshinda, huyu mama ameshinda kwa kura nyingi sana so am interested to know her in details hivyo kama kuna...
3 Reactions
42 Replies
9K Views
Sikiliza kwa makini. Nitaongea bila kupepesa macho, bila kunawa lugha, bila kulainisha ukingo wa ukweli. Leo tutajenga maiti ya muungano mezani. Tutauvua ngozi, tutachana misuli, tutayatoa maini...
5 Reactions
3 Replies
263 Views
Mwanafunzi Mmoja wa Shule ya Msingi Mlembea iliyopo Tarafa ya Mashati, Wilaya ya Rombo anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 13 amedai kubakwa na Wanaume watatu tofauti na kwa nyakati tofauti tangu...
1 Reactions
12 Replies
398 Views
Naomba kuuliza wanazuoni kiongozi wa umma kutumia kodi ya serikali kuunda kamati kwa ajil ya jambo fulani kwa maslahi ya UMMA baada ya RIPOTI kukamilika anaamua kuihodhi RIPOTI hiyo na kuwa yake...
1 Reactions
4 Replies
140 Views
Bohari Kuu ya Dawa Tanzania (MSD) imesema ipo mbioni kuleta dawa ya kusaidia kuacha pombe, ili kusaidia wenye changamoto ya uraibu wa pombe. Meneja wa MSD Kanda ya Dodoma, Mwanashehe Jumaa...
3 Reactions
30 Replies
574 Views
Wakati wa Mkapa Nakumbuka PASCAL MAYALLA alianzisha Kipindi Cha KITIMOTO ambapo watendaji kadhaa na viongozi wa serikali walihojiwa kuhusiana na mambo mbali mbali sasa tunaelekea katika uchaguzi...
2 Reactions
54 Replies
9K Views
Kama mtu ni mwanasheria binafsi(sio wa serikali) kwa mfano unajua kabisa mteja wako ni mfanyabiashara wa dawa za kulevya, fisadi, muuaji n.k kwa nini unampa huduma ya uwakili kama wewe sio mtu...
4 Reactions
21 Replies
295 Views
Ni makadirio tu kulingana na cv zao nzito humu JF Kuwaomba watu hawa wakutangazie biashara yako kwa kuiingiza kijanja kwenye post zao au kuwaomba wakusaidie field waliyobobea, waweza gharamika...
8 Reactions
18 Replies
396 Views
Jaji Chande katika mapendekezo yake ya kuimarisha usalama na uzalendo alikuwa anaongea mambo ya ajabu ajabu sana ikiwemo kuhakikisha vijana wote wanaenda JKT na kurudisha na kuimarisha mfumo wa...
9 Reactions
15 Replies
308 Views
Pambana wewe mwenyewe ukitazamia ufikie level yao, usiwashirikishe,nataka nikuibie siri,hakuna tajiri anayependa wewe ufanikiwe ufikie level yake, mara zote atakushauri umtegemee Mungu na ufanye...
4 Reactions
24 Replies
361 Views
  • Redirect
1 Reactions
– Replies
– Views
  • Redirect
Nimepitia hii post ya X ya Girishoni na kusoma comments, waah watu wana maumivu 🙌 https://x.com/i/status/2048312570906353711 Kusema ukweli hali ya wananchi wa Tanzania ni mbaya sana, pitia tu...
0 Reactions
– Replies
– Views
  • Redirect
Donald Trump anawindwa sana na maadui zako ikumbukwe bwana D amenusurika majaribio mengi ya kuuwawa. Video inaonyesha askari wa usalama wakimtoa kwa haraka japo walianza kwanza kumtoa makamu wa...
0 Reactions
– Replies
– Views
Anonymous (c258)
Kuna hii mikopo ya Pikipiki na Bajaji inayotolewa na MO Finance (Kampuni ya Mohammed Dewji) hii mikopo ni kandamizi kupitia masharti yake magumu. Mikopo hii ukishakopwa huwa wanahitaji marejesho...
1 Reactions
10 Replies
879 Views
Back
Top Bottom