Nipeni namba za simu za TBC.

Konzogwe

JF-Expert Member
Feb 24, 2008
434
155
Niliamka usingizini leo muda wa saa 9 kasoro usiku nikasikia TBC kipindi fulani kinaishiria.Kuna fundi wa nguo alikuwa akihojiwa,kwa kweli nahitaji mawasiliano naye yeye moja kwa moja au kupitia TBC.
Nisaidieni.
 
tido yumo humu atakusaidia.

au kama uko karibu nenda pale tbc.
 
Back
Top Bottom