Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Mtanzania anayesoma Shahada ya Uzamivu (PhD) katika masuala ya Elimu katika Chuo Kikuu cha Georgia Nchini Marekani, Nichesius Godwin, amechaguliwa kuwa Rais wa wanafunzi wa ngazi za uzamili na...
17 Reactions
27 Replies
623 Views
Hii ni hadithi ambayo wengi hawataamini, lakini ukweli ni kwamba nilifanya hivi kipindi fulani, kila kitu kikaonekana mbele yangu kabla hakija anza. Siku moja niliamua kuanza siku yangu kwa kitu...
0 Reactions
4 Replies
164 Views
Kama Trafiki polisi wa Mafinga wakilipisha kosa dereva, ile hela sio mali Jeshi, iende pale pale Mafinga kusolve ishu ndogo mfano kupaka rangi Zebra zilizofutika, kuweka vibao, etc kwa kifupi...
3 Reactions
2 Replies
86 Views
Anonymous (c258)
Hali ilivyo katika Jiji la Mwanza, Wilaya ya Nyamagana, Kata ya Kishiri, eneo la Mtaa wa Mnazi Mmoja kuelekea Bukaga ni mbaya sana. Wakati wa mvua, wananchi hushindwa kabisa kuvuka kutokana na...
1 Reactions
1 Replies
181 Views
  • Redirect
Wakati kazi za ukarabati wa Dimba la Benjamin Mkapa zikiendelea jijini Dar es Salaam ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya AFCON 2027, baadhi ya mafundi wanaoshiriki katika ujenzi huo wamekumbana na...
0 Reactions
– Replies
– Views
Mbunge wa Lupa mkoani Mbeya, Masache Kasaka ameipongeza Wizara ya Madini kwa kuendelea kuongeza mapato ya Serikali, huku Pato la Taifa likifikia asilimia 11.9. Akichangia bungeni leo Jumatatu...
0 Reactions
1 Replies
140 Views
Wanajukwaa habari za muda huu. Ninalazimika kupanda jukwaani kutokana na usumbufu mkubwa sana uliopo Mfuko wa Hifadhi ya Jamii wa PSSSF . Hawa watu wanakuwa na vipengele vingi vya kufuatilia na...
4 Reactions
12 Replies
1K Views
Habarini za wakati huu wanajukwaa. Marakadhaa PSSSF wamekua wakilalamikiwa kama huduma zao ni mbovu Ukipiga simu kwa mhudumu A atakupa majibu tofauti na mhudumu B. Mfano mhudumu A atakuambia...
13 Reactions
39 Replies
2K Views
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, SACP Jumanne Muliro, akizungumza na waandishi wa habari leo, Aprili 27, 2026, ameeleza kuwa Jeshi la Polisi liliwakamata watuhumiwa 37 katika eneo...
0 Reactions
9 Replies
237 Views
Kuzimu kunaposhiba vifo hupungua duniani, kuzimu kunapohitaji shibe majanga yenye kuangamiza roho nyingi kwa mpigo hutokea, majanga hayo yanaweza kuwa ya kiasili au ya kutengenezwa na mwanadamu...
59 Reactions
522 Replies
79K Views
Mt 4:3 SUV [3] Mjaribu akamjia akamwambia, Ukiwa ndiwe Mwana wa Mungu, amuru kwamba mawe haya yawe mikate. Yesu akiwa kwenye maombi ya siku 40 ya kufunga, alikutana na mjaribu shetani. Tukio...
0 Reactions
3 Replies
136 Views
Kuna mkanganyiko mkubwa wa idadi ya vifo vilivyotangazwa na tume ya jaji Chande Lakini pia imezua maswali.. Je idadi hiyo iko documented police ama hospital? Je death certificate zake zipo? Je...
3 Reactions
13 Replies
251 Views
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM-TAMISEMI) Mhe. Prof. Riziki Shemdoe, amemshukuru Waziri Mkuu Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba kwa kuadhimisha miaka 62 ya...
0 Reactions
0 Replies
119 Views
Kuanzia Februari 2027, Kanuni ya Betri ya EU (EU Battery Regulation 2023/1542) inaitaka kampuni zote zinazouza simu na kompyuta mpakato nchini humo kuhakikisha kuwa betri zinaweza kutolewa na...
4 Reactions
6 Replies
323 Views
Asasi za kiraia 14 zinazotetea masuala ya haki za binadamu na utawala bora nchini Tanza zimeeleza kuwa zimebaini kasoro kadhaa katika ripoti ya Jaji Chande iliyochunguza matukio ya uvunjifu wa...
3 Reactions
1 Replies
167 Views
  • Redirect
🚨 Umoja wa Ulaya unasema simu zote za mkononi sasa lazima ziwe na betri zinazoweza kubadilishwa. Kuanzia Februari 18, 2027, Umoja wa Ulaya unatekeleza mabadiliko makubwa katika muundo wa vifaa...
0 Reactions
– Replies
– Views
Sasa LATRA wamekunjua Makucha. Tuliwaonya Madereva hawakusikia SOMA HAPA. Sasa kila Dereva anayekamatwa analialia kusamehewa eti hakuwa na taarifa.. Hadi wengine wanajifanya kutoa Rushwa. Nani...
3 Reactions
8 Replies
327 Views
Mmoja wa maofisa hao alisema hilo ni wazo la Rais Félix Tshisekedi lenye lengo la kuleta mageuzi katika sekta ya madini na kupambana na ubadhirifu wa madini ya thamani. Mamlaka ya madini katika...
0 Reactions
4 Replies
154 Views
Back
Top Bottom