Life2
JF-Expert Member
- Jun 8, 2016
- 3,387
- 4,880
Kama hukupoteza ndugu yako 29 Oct mwambie Mungu asante, ile siku kwa kifupi ni siku mbaya ni siku ambayo shetani na majeshi yake walivuna haswa damu za Watanganyika.
Endeleeni kupumzika kwa amani makamanda, leo mnazingiziwa kila kitu, mlikua na Bunduki, Mabomu, Vifaru, Air to Air missiles, Land to Air Missile, Air defences weapons, ICBM etc.
Enzi za Mwalimu Nyerere alitwambia maadui watatu wa taifa ni hili ni:
Ujinga
Umaskini
Maradhi
Nafikiri kwa sasa tumefanikiwa angalau kwa asilimia 75 kupunguza changamoto hizo, Shule, vyuo vimekua vingi, hospitali zimekua nyingi, vipato vya watu vimekua angalau milo miwili sio haba kwa Watanganyika.
Bahati mbaya wameibuka maadui wengine ambao ni hatari kuliko hata silaha za nyuklia ambazo ni:
Vyombo vya habari.
Waandishi wa habari
Baadhi vya viongozi wa vyombo vya ulinzi na usalama.
Wasomi
Viongozi wa ngazi za juu Wastaafu.
Timu za mipira haswa football.
Wabunge
Mawaziri.etc
Hao ni wengineo wamekua ni hatari mno kwa watanganyika wapo radhi taifa hili lipigwe mnada kisa tamaa zao binafsi.
Wapo radhi Watanganyika wote mfe kisa kuendekeza uchawa na ujinga ujinga usio na mantiki kwa taifa hili.
Kuanzia asubuhi mpaka jioni wao ni kusifu na kuabudu tu, tena bora wangefanya yao kwa sifa na utukufu kwa Mungu. La hasha wanafanya hayo kwa sifa za Binadamu.
Tukiweza kudili na hao maadui wapya tutakua tumekomboa taifa hili.