HAKUNA RAIA WA TANZANIA ALIYESHAMBULIWA NCHINI AFRIKA KUSINI
Wizara inapenda kuufahamisha umma wa Watanzania kuwa hakuna raia wa Tanzania anayeishi Afrika Kusini aliyeshambuliwa kutokana na...
Kwa wale wanaosikiliza taarifa ya Habari ya Redio Wani Stirio mtakuwa mmeona jinsi hii stesheni ya Redio Wani Stirio inavyoliaibisha taifa.
Aibu hii inatokana na uduni wa usomaji wa taarifa ya...
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Dodoma, Neema Peter Majule, ameishauri Serikali kuboresha utendaji wa Wakala wa usajili, Ufilisi na udhamini (RITA) ili kuondoa ucheleweshaji wa utoaji wa vyeti vya...
Mkurugenzi wa Milki Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Upendo Matotola, ameibuka mshindi miongoni mwa washindi wa Tuzo ya WIMA (Women in Management Africa) kwa mwaka 2026, kutokana...
Kiu yangu ni kuwaona polisi wakiteseka na maisha ya mtaani pindi wanapostaafu na kutamani walimu wale mema ya nchi pale wanapostaafu hata kama wote wawili walitumika kudidimiza taifa kwakujua au...
Ameshakiri ripoti ni yake sawa, kama Watanganyika tumemwachia, sijui ataitunzia Tanganyika au kwao.
Kama ni yake kulikua na haja gani ya kutonesha makovu ya watanganyika tena? Ingependeza kama...
Ameshakiri ripoti ni yake sawa, kama Watanganyika tumemwachia, sijui ataitunzia Tanganyika au kwao.
Kama ni yake kulikua na haja gani ya kutonesha makovu ya watanganyika tena? Ingependeza kama...
Shirika la Reli Tanzania (TRC) linapenda kuuarifu umma kuwa, picha mjongeo (video) inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii ikidai Kichwa cha treni ya SGR kikiwa kinatoa mlio usio wa kawaida siyo ya...
Mkurugenzi wa Milki Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Dkt Upendo Matotola, ameibuka mshindi miongoni mwa washindi wa Tuzo ya WIMA (Women in Management Africa) kwa mwaka 2026...
Makamu Rais, Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, ametoa wito huo kwa Idara ya Uhamiaji wakati wa uzinduzi wa Ofisi ya Uhamiaji Wilaya ya Kati, Mkoa wa Kusini Unguja.
Oneni jinsi Wachina ndani ya miaka 20 tu walivyobadilisha miji yao mfano wa Chongqing kutoka slums kama za tandale na kutokuwa na mpangilio hadi kuwa majiji ya hadhi sawa na ya West
Mambo 8 yatakayo kufanya mwanaume kuwa na mafanikio na nguvu katika jamii
1.Kumshirikisha Mungu kwenye mipango yako, Unapomuweka Mungu wa kwanza kwenye kila mipango unayofanya unajipa nafasi ya...
Unapopitia changamoto katika maisha elewa mambo aya.
Katika dunia kila binadamu anapitia changamoto mbalimbali lakini uwezo wa kukabiliana changamoto ume tofautiana mtu na mtu kutokana na uzoefu...
Katika kuelekea wiki ya Usalama na Afya Mahala pa Kazi mwaka 2026 Ofisi ya Kamishna wa Ardhi Msaidizi mkoa wa Njombe pamoja na Halmashauri ya Mji zimeanza kutoa huduma za Kliniki ya Ardhi kwa...
Msanii nguli mstaafu, Dudubaya Mamba 24, ameanika ukweli uliojificha nyuma ya sanaa ya umiss na urembo. Ni ufuska mtupu! Aidha, amesema kuwa wasichana wengi wa vyuoni ni machangudoa na malaya wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.