Holoholo
JF-Expert Member
- May 10, 2023
- 8,708
- 19,577
Kuna wakati, matibabu ya hospitali na hata ya waganga wa miti shamba hugota, hufikia mwisho yaani hufikia point of no return.
Imagine umetembelea hospitali zote kubwa hapa nchini mfano BUGANDO na MUHIMBILI NH ikashindikana, ikabidi uende Africa kusini na ukaamua uende India, napo ikagonga mwamba, mkaambiwa mrudi nyumbani akasubiri siku ya kufa tu, mnarudi nyumbani wiki ya kwanza,ya pili mwezi, mwaka, miaka 3 mgonjwa yu hoi kitandani anasubiri kufariki ila hafi sasa.
Hawezi kula ,kunywa, kunya, kujigeuza bila ya usaidizi lakini mdomoni roketo,mgongo umechoka,unatoa funza sasa nyie kama ndugu mnaweza kufanya nini, ni mzigo kwa familia,gharama za kumtunza,muda na mateso ya mgonjwa huyo, nyie wanafamilia mnaweza kufanya nini?
Sasa basi zipo mila au tuseme desturi miongoni mwa jamii kuwa mgonjwa wa namna hiyo hupumzishwa na wanandugu kwa makubaliano kuwa kweli mtu huyu akapumzike, wapo wanaotoboa juu ya paa ili mwanga ukimfikia afe,au wengine humwekea mchi wa kutwangia chini ya mto afe, je suala hili lipo au ni nadharia?