Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

HOTUBA MAARUFU ZAIDI KATIKA BIBLIA (SERMON ON THE MOUNT) Yesu alipoanza Huduma ya kueneza neno la Mungu alikusanya wanafunzi wake 12 na akatoa Hotuba maarufu zaidi katika biblia nzima...
10 Reactions
16 Replies
4K Views
The reason why our families are not the same anymore, is because we buried the ones who used to keep the family together.
2 Reactions
0 Replies
113 Views
Imekuwa kawaida kuona wageni wakiisifia Tanzania kuwa moja ya nchi nzuri kutembelea au kuishi ndani ya bara la Africa. Kiuhalisia kwa wazawa Tanzania siyo kisiwa cha maziwa na asali kama...
7 Reactions
14 Replies
679 Views
Kwamba Mwanaume hupaswi Kuchelewa kuwa na Mtoto na kwamba unatakiwa kuwa na Mtoto kuanzia Umri wa Ujana na kwamba ukiwa na Miaka kuanzia 45 kwenda mbele hadi 50 au 55 hapo ukipata Mtoto wako wa...
7 Reactions
13 Replies
959 Views
Mh Mkuu wa wilaya na mkuu wa jeshi la polisi mkoa wa Pwani najua huko kwenu mnalala usingizi ila sisi wana makurunge hatulali kutokana ka kelele za mitetemo kutoka kwenye bar ya REDOMAX. Tuna...
0 Reactions
22 Replies
441 Views
Anonymous (c258)
Naomba kuwasilisha kero yangu kuhusu huduma ya TTCL hasa katika maeneo ya Wilaya ya Mbeya Vijijini mkoani Mbeya. Nimeomba kuunganishiwa huduma ya fibre kwa zaidi ya mwezi mmoja sasa, lakini hadi...
0 Reactions
0 Replies
110 Views
Hii ndio sababu kwanini masikini wataendelea kuwa masikini.
6 Reactions
20 Replies
288 Views
Wananchi wote wa Tanzania kwa dhati ya moyo wetu tunaipongeza Ripoti ya tume ya uchunguzi chini ya Mwenyekiti Jaji Chande, hakika imekata kiu ya watanzania. Sasa kilichobaki ni upande wa Serikali...
1 Reactions
4 Replies
153 Views
1. Dr. Omary Ali Juma Huyu alikuwa ni Makamu wa Rais katika Serikali ya Rais Benjamin Mkapa. Alienda kufungua maonyeshi ya sabasaba akiwa na Rais Kabila wa Kongo, kesho yake tukapata tanzia. 2...
17 Reactions
122 Replies
15K Views
"Mungu ni mkubwa jamani! Mungu Anaweza nyiye! Mungu hashindwi na jambo lolote. Sikutegemea kama Watanzania wenzangu watachangia hadi sasa kupata shilingi milioni thelathini (30,000,000)...
2 Reactions
8 Replies
351 Views
Mkuu wa Kitengo cha Wateja Binafsi na wa Kati wa Benki ya Exim Tanzania, Bw.Andrew Lyimo( wa pili kushoto) na Meneja Mkuu wa Toyota Tanzania Bw.William Kadiva (wa pili kulia) wakisaini mkataba wa...
2 Reactions
8 Replies
379 Views
Je ni nchi gani ukifuatilia unaona hii nchi ina mazingira mazuri, ya kuvutia mbele ya macho? Binafsi naona Marekani. Nchi ya Marekani ina mazingira mazuri sana kuanzia Nature, miji, vijiji hadi...
3 Reactions
11 Replies
218 Views
Saidi Abdallah Mikidadi mwenye miaka 33, mkazi wa Dar es Salaam ambaye anakabiliwa na uvimbe mkubwa sana shingoni, amelazwa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) akisubiriwa kufanyiwa upasuaji mdogo...
1 Reactions
4 Replies
251 Views
Africa sidhani kama tuna ugumu wa maisha ila ni akili zetu tu mbovu Mafuta yamegunduliwa Uganda kisha yanasafirishwa na bomba hadi Tanga alafu yanapelekwa Kwa wazungu kusafishwa then wao...
10 Reactions
59 Replies
1K Views
‎ulimwengu una mipangilio sensitive kama frequency ya redio ( ambapo ukibadikisha kidogo tu huipati channel hiyo ) ambapo kama ulimwengu ungekuwa tofauti kidogo tu hata kidogo sana uhai...
9 Reactions
75 Replies
1K Views
Niliwahi kuleta nyuzi zaidi ya tano ( campaign) hapa JF nikiiomba serikali ifanye marekebisho ya sheria ya kanuni za Adhabu Tanzania ( Penal Code) kwa kushusha umri wa ridhaa ya kufanya mapenzi...
7 Reactions
18 Replies
546 Views
Back
Top Bottom